Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

Mungu hakuumba viungo vichafu. Kila kimoja kina kazi yake.

Kama viungo vyetu tutaendelea kuwa navyo huko peponi, basi hata huko tutavitumia pia.

Nyie kama hamtaki kuchakata, basi tulieni itabidi mkae pembeni vyombo vyote vikali watajitwalie waislamu waenjoy.

Mimi nikiwa peponi nataka mademu wakali, sasa wewe utaniambiaje eti nikiwa huko nikae hivihivi?
Ila naanza kusoma msitari wa kwanza ulitaka kuniudhi, ila mwishoni nimecheka sana.
Sasa mkuu, kama ni hivyo basi huko mbinguni watu wakiwa busy kuchakata mbususu itakuwa mbingu kweli si ni Toroka uje tu au uwanja wa Fisi.
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
Duuu! Sio mchezo
 
Kwaiyo unahisi peponi mtaingia? Mwanamke peponi Firidaus sio rahisi kwa tabia zenu za husda ,chuki,roho mbaya Uzinzi nk nadhani ili Jambo ni Pana.
Aseee! Usiwaseme hivi maana mbinguni kuingia ni kwaneema ya Mungu tu. Hakuna mkamilifu duniani wala mwema zaidi kuzidi mwingine.
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
Wahi huko...utakutana na jibu sahihi !!
 
Ndio mkuu kuna tatizo?
Au ndo mawazo yako yamekuwa brainwashed na hadithi za taifa la Mungu.

Wewe naamini ni Mtanzania, ila kwakuwa umelewa damu ya Yesu, sikushangai.

Wewe ni kondoo
 
Hicho kitabu kiliandikwa na wahuni halafu Muhammad anadanganya eti aliteremshiwa. Ndiyo kimezaa dini ya kihuni.

Imagine mtu anaambiwa akijiua kutetea Imani yake eti kuna mabikra 72 wanamsubiri peponi. !! Yaani huko peponi hakuna cha maana zaidi ya ngono?? Uhuni mtupu
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125] [emoji114]
 
Allah alitoa ahadi ya mabikra 72 kwa Wanaume wa Kiislam watakaoingia peponi na kutotoa ahadi yeyote ile kwa Wanawake wa Kiislam ila hajasema wanawake wa kiislam watakaoingia peponi watapewa nini.

Sunan Ibn Majah Juzuu ya 5, Kitabu cha 37, Hadithi 4337—“Abu Umama amesimulia: “Mtume wa Allah swt amesema, ‘Kila ambaye Mwenyezi Mungu atamuingiza Peponi ataoa wake 72;

Sunan Ibn Majah Volume 5, Book 37, Hadith 4337—“Abu Umama narrated: "The Messenger of God said, 'Everyone that God admits into paradise will be married to 72 wives; two of them are houris and seventy of his inheritance of the female dwellers of hell. All of them will have libidinous sex organs and he will have an ever-erect penis.”

Quran 56:28-37: We have created (their Companions) of special creation. And made them virgin - pure (and undefiled), - Beloved (by nature), equal in age,-

Quran 37:48-49:

And with them shall be those who restrain the eyes, having beautiful eyes; As if they were eggs carefully protected.

“...they shall have therein Azwajun Mutahharatun (purified mates or wives), (having no menses, stools, urine, etc.) and they will abide therein forever.” This means God will provide pure women for men to have sex with in Paradise.

Shehe nae anafafanua hapa

Mi sio muslim ila huyu shekhe namkubali sana...mi mawaidha yake tuu nacheeeekaaa
 
Au ndo mawazo yako yamekuwa brainwashed na hadithi za taifa la Mungu.

Wewe naamini ni Mtanzania, ila kwakuwa umelewa damu ya Yesu, sikushangai.

Wewe ni kondoo
Wapi hujaelewa mkuu?
 
Kumbe mbinguni kuna kuchakata mbususu kama kawaida😀😀
Karibu Katika Kumuamini Mungu MMOja na kumuabudu yeye tuu,
Kwa kusali na kufunga na kwenda Makka na kutowa Sadaka na kutenda mema kwa wema wako na watesi wako. Yote hayo ni kutaraji malipo mema ya Mwenyezi Mungu,Muumba wa Mbingu na Ardhi.
Utapata pepo yake na Mbususu ni mali yako huko na mengineyo mingi ambayo Jicho halija wahi ona , akili haiwezi kufikiri,na sikio haija sikia . Utapewa Roho na Mwili Mpya ili ufaidi .
Sio wale wanaoamini kuwa Peponi wataishi maisha ya Roho tuu, pasina Mwili.
Zawadi ni nono Peponi kwa waliofuzu.
Hivyo hivyo kwa waovu watapewa miili mikubwa na watatiwa Jahannam ili moto uwaunguze sawia na wapate machungu na maumivu na kusaga meno
 
As-salamu alaykum ndugu zangu.

Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera.

Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume.

Zaidi ukisoma Quran tukufu 44:54 inataja sifa za mabikra hao kuwa ni wenye macho mazuri, macho meusi mapana na warembo kwelikweli.

Swali langu ni iwapo wanaume wetu na waume zetu watapewa wanawake wapya na wanawake hao wako tayari walishaandaliwa, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi iwapo waume zetu wa hapa Duniani tayari watapewa wanawake wengine?

Hakuna mahala popte kwenye Quran tukufu ambako sisi wanawake wa Duniani tumeahidiwa chochote huku waume zetu wakiahidiwa wanawake wapya.

Ahsante.
Mtapelekwa Sudan, tena Darfur
 
Mimi nadhani Watu hawatumii akili.
Munakumbuka kuwa Adam aliumbwa na akawekwa Peponi Aden, Paradiso iliyopotea?
Huko si alishi na Mkewe Hawa?
Walipokula Tunda ndio ikawa Dhambi ya kuwafanya watolewe huko?
Sasa Lile umbile alilokuwa nalo kabla ya kula tunda ndilo hilo atakalorudishiwa siku ya kiyama.
Ataishi na wanawake,
Atakula matunda. Kama isemavyo Biblia na pia isemavyo Qur- an.

Elimu ni NURU na Ujinga si biskuti, unaweza ukaachana nao.

Wanawake watapewa Matamanio ya kupenda Kufanya ngono kupita maelezo,(Nyege za nyongeza)
Watapewa Mapambo na mavazi ya Kuvutia wakiishi kama wa Malkia wakiwa na watumishi wao Mahur l Ain.

Mulio zowea kula Madada wa kazi (Hous Girl ) kule itakuwa Rukhsa

Elimu bila mipaka.
Uislamu ni Nuru
 
Mnaota huko mbiguni hakuna hao wanawake sijui mabikira hawapo nonsense , kule ukibahatika kwenda nikuimba na kusifu tu haya jidanganyeni tangia lini mahali patakatifu kuna azinaaa lini ,mkikosaga vyakuandika watu wafuate acheni kuwa waongoo
 
Muongo ni wewe,
kwa sabau maneno yako hayana uthibitiso wowote ule, ni dhana tuu.
 
Mwisho utafika utakapotoa macho kama ngedere ndio utanikumbuka
21 Bwana Mungu akawafanyia Adamu na mkewe mavazi ya ngozi, akawavika.
22 Bwana Mungu akasema, Basi, huyu mtu amekuwa kama mmoja wetu, kwa kujua mema na mabaya; na sasa asije akanyosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima, akala, akaishi milele;
23 kwa hiyo Bwana Mungu akamtoa katika bustani ya Edeni, ailime ardhi ambayo katika hiyo alitwaliwa.
24 Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka Makerubi, upande wa mashariki wa bustani ya Edeni, na upanga wa moto uliogeuka huko na huko, kuilinda njia ya mti wa uzima.
 
Mimi nadhani Watu hawatumii akili.
Munakumbuka kuwa Adam aliumbwa na akawekwa Peponi Aden, Paradiso iliyopotea?
Huko si alishi na Mkewe Hawa?
Walipokula Tunda ndio ikawa Dhambi ya kuwafanya watolewe huko?
Sasa Lile umbile alilokuwa nalo kabla ya kula tunda ndilo hilo atakalorudishiwa siku ya kiyama.
Ataishi na wanawake,
Atakula matunda. Kama isemavyo Biblia na pia isemavyo Qur- an.

Elimu ni NURU na Ujinga si biskuti, unaweza ukaachana nao.

Wanawake watapewa Matamanio ya kupenda Kufanya ngono kupita maelezo,(Nyege za nyongeza)
Watapewa Mapambo na mavazi ya Kuvutia wakiishi kama wa Malkia wakiwa na watumishi wao Mahur l Ain.

Mulio zowea kula Madada wa kazi (Hous Girl ) kule itakuwa Rukhsa

Elimu bila mipaka.
Uislamu ni Nuru
Allah alishindwa kuelewa dhumuni la sex , alizingua Sana 😂🤣🤣
 
Mwisho utafika utakapotoa macho kama ngedere ndio utanikumbuka
Biblia Mwanzi 1:8
8 .Bwana Mungu akapanda bustani upande wa mashariki wa Edeni, akamweka ndani yake huyo mtu aliyemfanya.

Nitakumbuka ikiwa utakapokuwa mmoja ya watu wa Jahannam unaunguzwa kwa machungu.
Lakini ukibahatika kuwa pamoja na mimi peponi nadhani utakuwa Hurl ain kwahiyi nitakuwa nakucharaza mara 5 kwa siku. Nitaipasha vilivyo hiyo kitu.
 
Back
Top Bottom