Barieda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 1,808
- 2,470
Ila naanza kusoma msitari wa kwanza ulitaka kuniudhi, ila mwishoni nimecheka sana.Mungu hakuumba viungo vichafu. Kila kimoja kina kazi yake.
Kama viungo vyetu tutaendelea kuwa navyo huko peponi, basi hata huko tutavitumia pia.
Nyie kama hamtaki kuchakata, basi tulieni itabidi mkae pembeni vyombo vyote vikali watajitwalie waislamu waenjoy.
Mimi nikiwa peponi nataka mademu wakali, sasa wewe utaniambiaje eti nikiwa huko nikae hivihivi?
Sasa mkuu, kama ni hivyo basi huko mbinguni watu wakiwa busy kuchakata mbususu itakuwa mbingu kweli si ni Toroka uje tu au uwanja wa Fisi.