Mimi nimwewahi kuwa na samsung s10e ilikuwa na 16mp lkn ilikuwa inazizidi mbali sana tecno zenye 50mpUbora wa picha unategemea na wingi wa pixcels,
Sasa ilecamera yako ulikuwa na mp ngapi ukilinganisha na s9
Umepotea Sana mkuu!Kuna simu zinatoa picha nzuri sana ila picha bora zaidi ni Digital camera.
Sasa S10 unaifananisha na Tecno?Mimi nimwewahi kuwa na samsung s10e ilikuwa na 16mp lkn ilikuwa inazizidi mbali sana tecno zenye 50mp
Mp sio kigezo cha ubora mkuu
Ni kweli na ukitaka kuona ubora picha ya kamera weka kwenye computer halafu zoomSio mtaalamu sana wa Cameras mimi ila nina kaufahamu kidogo kwa sababu nina cameras.
Simu nyingi zinachakata picha automatically mfano una iphone 14 ukipiga picha ina portrait ina blur na kuboresha skin tone kwa sekunde same to samsung na simu zingine.
Lakini kwa camera itapiga picha kali sana bila kuongeza hivyo vitu automatically ila end result yake ni umeme ikishachakatwa