Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Camera ipo kwa ajili ya picha haina haja kuunguza ubongo wako sana.Kamera ilikuwa na Megapixels 16.1 na S9 ilikuwa na 12 MP
Camera ipo kwa ajili ya picha haina haja kuunguza ubongo wako sana.Kamera ilikuwa na Megapixels 16.1 na S9 ilikuwa na 12 MP
Miaka 50 bado haiwezekani mkuu huwezi kunambia watu kama NASA Badae wataanza kutumia smart phone kupiga picha na ku shoot kitu ambacho haiwezekani. Mimi ninayo digital camera sony picha zake ni kali na ninakadogo tuMkuu, hivi unazifahamu Camera kweli? Umewahi kuona Camera zinazotumika kushoot movies, mpira, matukio muhimu n.k? Hata tukiweka 50 years mbele bado simu hana hata 20% ya kumburuza Camera.
Unakuta Camera moja inauzwa 20m. Zile za Azam, na kampuni zingine kubwa za kushoot zinafika hadi milioni mia mbili. Zile za akina Millard Ayo na wengine wa kawaida mpya hazishuki milion 20.
Those were the days.Nimemis Sana hizo moment
Kuna mtu huko juu kasemaKwahio tusitegemee Kamera kupotezwa na simu?
Simu inatoa picha nzuri, camera inatoa picha yenye uboraTupe hesabu za kisayansi tujue mkuu
Uzi ufungweCamera ya simu hata iwe latest kama iPhone 17,ubora wa picha hauwezi kua sawa na camera,advantage kubwa ya camera ni sensor na lens..
Kwenye simu picha inaonekana nzuri kuzidi camera sababu ya software za ku enhance ubora wa picha kwenye simu,hivyo vinafanya ubora wa picha kupungua,
Jiulize swali dogo,why camera ya kawaida tu,ambayo kazi yake kupiga picha tu,inauzwa laki 7 but simu Ina dou simcard, internet 5G, OLED screen, calculator,inauzwa laki Tano??..
Ndo maana pia kuna ofisi za wapiga picha, wanatumia Camera na sio Iphone aala Google Pixels wala Samsung.Miaka 50 bado haiwezekani mkuu huwezi kunambia watu kama NASA Badae wataanza kutumia smart phone kupiga picha na ku shoot kitu ambacho haiwezekani. Mimi ninayo digital camera sony picha zake ni kali na ninakadogo tu
Niliwahi kukutana na mzungu mmoja alikuwa na camera akaniambia hii ina zoom umbali wa mita 200+ sikumpinga na ukumbuke ile camera ni ya kupakata mkononi tu hata kg2 haifikishi nikamuomba niende umbali wa mita 50 anitwange photo akasema fanya hivyo ile picha ilikuwa na quality ya kutosha yaani hakuna kasoro.Ndo maana pia kuna ofisi za wapiga picha, wanatumia Camera na sio Iphone aala Google Pixels wala Samsung.
Camera ni mziki mwingine ule kaka. Hakuna simu inayonusa upande wa Camera kama Camera.
Kuna siku niliingia uwanja wa Taifa, game haikuwa na mashabiki wengi. Camera ya Azam ilikaa juu ya jukwaa lile la viti vya Blue upande wa kawaida usio VIP.
Sasa jamaa anasema ile ndo Camera inayochukua makocha hadi VIPs, umbali wa ile Camera ilipo hadi VIPs ni zaidi ya mita 200, yaani viwanja vya mpira viwili ukiviunganisha na bado inatoa quality kali sana sana. Hakuna Samsung, Iphone wala Pixel inayokaribia kufanya ule muujiza. Kwanza Camera lina istallations kama Server Computer, ina manyaya na matakataka mengi sana.
Kweli mkuu Kamera ipewe heshima yakeMkuu, hivi unazifahamu Camera kweli? Umewahi kuona Camera zinazotumika kushoot movies, mpira, matukio muhimu n.k? Hata tukiweka 50 years mbele bado simu hana hata 20% ya kumburuza Camera.
Unakuta Camera moja inauzwa 20m. Zile za Azam, na kampuni zingine kubwa za kushoot zinafika hadi milioni mia mbili. Zile za akina Millard Ayo na wengine wa kawaida mpya hazishuki milion 20.
Umefafanua vizuri mkuu,nimekupataHilo swali ni kama kuuliza inawezekana Chakula cha layman nyumbani kikazidi utamu chakula cha proffessional Chef huko Hoteli ya mbali ?
Jibu ni kwamba inategemea; inawezekana chef alipika huku amelewa na kuchoka wakati layman alipika kwa umakini na hicho chakula ndio speciality yake...
Hivyo Camera inaweza ikawa (kama Toy) kulinganisha na high end phone (mfano Iphone) hence picha ya simu ikawa better...
Ila with everything being equal pixel per pixel nitategemea Camera iwe bora (a top camera and a top phone with a camera; basi camera itashinda; ila an entry level camera with the top phone camera basi camera itashinda) after all hapa Keyword ni Camera...
Mchina kwenye kamera kweli simuoni,ameshindwa kuiga?Halafu ieleweke kwamba, kwenye upande wa Tech zinazoeleweka za maana kama Cameras, mchina anasubiri, ni kama hayupo kabisa. Huku vinatengenezwa vitu jiwe. Utakutana na Mmarekani na Mjapan.
Usiseme HIVYo unatakiwa kujifunza kupiga picha Kwa camera hayo yote utaylafanya BILA HATA editSio mtaalamu sana wa Cameras mimi ila nina kaufahamu kidogo kwa sababu nina cameras.
Simu nyingi zinachakata picha automatically mfano una iphone 14 ukipiga picha ina portrait ina blur na kuboresha skin tone kwa sekunde same to samsung na simu zingine.
Lakini kwa camera itapiga picha kali sana bila kuongeza hivyo vitu automatically ila end result yake ni umeme ikishachakatwa
Ndio camera ya simu ni bora kuliko point and shoot camera, pia ni bei rahisiHabari wakuu,
Kuna uwezekano Picha zinazopigwa na Smartphone hizi za kisasa zikaizidi kiwango kamera ya kawaida? (Sio professional camera)
Nimeuliza kwa sababu simu hasa hizi High end zinakuja na maboresho sana upande wa Kamera huku zikiongezwa lenzi,zooming na Megapixels na idadi ya camera.
Nauliza sababu nimewahi kumiliki Kamera ya Sony DSC-90(nimeweka picha pale chini)
Picha nilizokuwa napiga zilikuwa nzuri sana kushinda picha za Samsung S9,na hata nikiangalia picha za kamera zilikuwa na Mb nyingi zaidi kianzia 5-8 wakati zile za S9 zilikua 1-2.
View attachment 3472184
Je kwa sasa kuna Simu inaweza kuipita kamera ya kawaida kwa ubora wa picha?
View attachment 3472186
Naomba wataalamu na mambo haya mnisadie.
Ahsante.View attachment 3472187