Je, Kamera ya Simu inaweza kuizidi Kamera ya kawaida kwenye ubora wa Picha?

Hapana malengo ya simu si picha lakini malengo ya camera ni picha lakin ubora wa pcha unategrmea na kifaa chenyewe unaweza ukapinga megapixel za kamera ya simu na camera ya kawaida zikiwa sawa ikowapi itatoa picha kali jibu ni camera wala si simu
Sawa nimekuelewa,tubaki na kamera zetu
 
Umeeleza vizuri,kumbe hizi promo za kamera kwenye simu ni kwa ajili ya social media tu
 
Kuna simu zinatoa picha nzuri sana ila picha bora zaidi ni Digital camera.
Nakubaliana na wewe,matukio mengi ya kifamilia nilikuwa natumia kamera, isivyo bahati niliipoteza,itabidi ninunue tena
 
Ubora wa picha unategemea na wingi wa pixcels,
Sasa ilecamera yako ulikuwa na mp ngapi ukilinganisha na s9
Siyo kweli ni zaidi ya pixcels .....pix zinaweza kuwa nyingi ila quality ndogo ...kuna hesabu pana ya kisayansi pix ni kipengele kimoja wapo cha ubora ila vipo vingine zikiwemo AI
 
Siyo kweli ni zaidi ya pixcels .....pix zinaweza kuwa nyingi ila quality ndogo ...kuna hesabu pana ya kisayansi pix ni kipengele kimoja wapo cha ubora ila vipo vingine zikiwemo AI
Tupe hesabu za kisayansi tujue mkuu
 
Nilikuwa kwenye majukumu ya kujenga taifa aise
Nimefurahi kuona bado upo, haujabadili hata username.
Kubadili username au avatar labda nife 🀣 kama sijasahau tuliwahi kuwasiliana pm? Muda kidogo
 
Hilo swali ni kama kuuliza inawezekana Chakula cha layman nyumbani kikazidi utamu chakula cha proffessional Chef huko Hoteli ya mbali ?

Jibu ni kwamba inategemea; inawezekana chef alipika huku amelewa na kuchoka wakati layman alipika kwa umakini na hicho chakula ndio speciality yake...

Hivyo Camera inaweza ikawa (kama Toy) kulinganisha na high end phone (mfano Iphone) hence picha ya simu ikawa better...

Ila with everything being equal pixel per pixel nitategemea Camera iwe bora (a top camera and a top phone with a camera; basi camera itashinda; ila an entry level camera with the top phone camera basi camera itashinda) after all hapa Keyword ni Camera...
 
Kubadili username au avatar labda nife 🀣 kama sijasahau tuliwahi kuwasiliana pm? Muda kidogo
Pm hapana ulikuwa rafiki yangu kwenye threads. Tena ulikuwa mdogo kwangu kipindi hicho wewe ndio katoto ka jf😝😝😝
 
Thread closed.
 
Kwahio tusitegemee Kamera kupotezwa na simu?
Mkuu, hivi unazifahamu Camera kweli? Umewahi kuona Camera zinazotumika kushoot movies, mpira, matukio muhimu n.k? Hata tukiweka 50 years mbele bado simu hana hata 20% ya kumburuza Camera.

Unakuta Camera moja inauzwa 20m. Zile za Azam, na kampuni zingine kubwa za kushoot zinafika hadi milioni mia mbili. Zile za akina Millard Ayo na wengine wa kawaida mpya hazishuki milion 20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…