Je, Kamera ya Simu inaweza kuizidi Kamera ya kawaida kwenye ubora wa Picha?

Miaka 50 bado haiwezekani mkuu huwezi kunambia watu kama NASA Badae wataanza kutumia smart phone kupiga picha na ku shoot kitu ambacho haiwezekani. Mimi ninayo digital camera sony picha zake ni kali na ninakadogo tu
 
Uzi ufungwe
 
Ndo maana pia kuna ofisi za wapiga picha, wanatumia Camera na sio Iphone aala Google Pixels wala Samsung.

Camera ni mziki mwingine ule kaka. Hakuna simu inayonusa upande wa Camera kama Camera.

Kuna siku niliingia uwanja wa Taifa, game haikuwa na mashabiki wengi. Camera ya Azam ilikaa juu ya jukwaa lile la viti vya Blue upande wa kawaida usio VIP.

Sasa jamaa anasema ile ndo Camera inayochukua makocha hadi VIPs, umbali wa ile Camera ilipo hadi VIPs ni zaidi ya mita 200, yaani viwanja vya mpira viwili ukiviunganisha na bado inatoa quality kali sana sana. Hakuna Samsung, Iphone wala Pixel inayokaribia kufanya ule muujiza. Kwanza Camera lina istallations kama Server Computer, ina manyaya na matakataka mengi sana.
 
Niliwahi kukutana na mzungu mmoja alikuwa na camera akaniambia hii ina zoom umbali wa mita 200+ sikumpinga na ukumbuke ile camera ni ya kupakata mkononi tu hata kg2 haifikishi nikamuomba niende umbali wa mita 50 anitwange photo akasema fanya hivyo ile picha ilikuwa na quality ya kutosha yaani hakuna kasoro.

Nahitimisha kwa kusema Camera itabaki kuwa camera tu miaka nenda rudi hata waboreshe namna gani bado itabaki palepale hata wao hawajalala wanaboresha vilevile
 
Kweli mkuu Kamera ipewe heshima yake
 
Halafu ieleweke kwamba, kwenye upande wa Tech zinazoeleweka za maana kama Cameras, mchina anasubiri, ni kama hayupo kabisa. Huku vinatengenezwa vitu jiwe. Utakutana na Mmarekani na Mjapan.
 
Umefafanua vizuri mkuu,nimekupata
 
Halafu ieleweke kwamba, kwenye upande wa Tech zinazoeleweka za maana kama Cameras, mchina anasubiri, ni kama hayupo kabisa. Huku vinatengenezwa vitu jiwe. Utakutana na Mmarekani na Mjapan.
Mchina kwenye kamera kweli simuoni,ameshindwa kuiga?
 
Usiseme HIVYo unatakiwa kujifunza kupiga picha Kwa camera hayo yote utaylafanya BILA HATA edit
 
Ndio camera ya simu ni bora kuliko point and shoot camera, pia ni bei rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…