Je, Kamera ya Simu inaweza kuizidi Kamera ya kawaida kwenye ubora wa Picha?

Hata mi pia naamini hivyo
Mi ni mpoga picha naelewa sana picha ya kamera matumizi yake yapo multipurpose na unaweza print popote kwa uzuri.. ya simu ni kwa ajili ya simu maana simu ina app ziliwekewa mifumo ya kuing'arisha unapoitazama ukiitoa hapo ukiileta kwa printa kwa web n.k itabidi uiedit lakini pixel zake zinapotea na picha ya simu inavyochukuliwa haina uwezo wa kutambua object zote kwa uzuri
 
Chief-Mkwawa nisaidie hapa Samsung s24 fe upande wa kamera inafaa na kama sio ipi inafaa kwa upande wa midrange yenye camara zuri.
 
Huwezi kufananisha SIMU inayopiga picha makalio ya kuweka instagram na CAMERA yenye lenzi inayovuta umbali wa mita 200 kwenye matukio muhimu ya kitaifa.

Cc: Mbaga Jr
 
Si Kweli, simu pia zina uwezo wa kupiga picha raw na kutoa picha ambazo hazina filter just usitumie default mode,
 
Chief-Mkwawa nisaidie hapa Samsung s24 fe upande wa kamera inafaa na kama sio ipi inafaa kwa upande wa midrange yenye camara zuri.
Flagship zinapiga picha nzuri zaidi kuliko midrange, mfano ukichukua flagship za zamani kama S23 series, Vivo X100 series, Xiaomi 14 series etc zitakupa picha nzuri kuliko midrange ya sasa.
 
Camera ya simu ya Erickson ni vipi
Kama huijui hiyo simu tulia usijibu
 
Sio professional camera Kwa mjini WA comment YAKO ya kwanza KUMBUKA hii sio DSLR ni compact, ambazo umesema si bora KULIKO phone kwahiyo. Ukisingiza stabilization what if napiga picha ya mnato

To sum up uko wrong
Ushasema camera ya Vlogger, Vlogger ni nani? Average Joe ama pro?

Nimesema compact nikimaanisha picha mnato, ambazo tumezungumzia juu, picha mjongeo ni discussion nyengine ambayo umeleta wewe, Dslr sio camera za video ni za kupiga picha unaweza kurekodi video ila sio kazi yake mahususi.

Hio camera Sony wenyewe wanai market kwa Vloggers kama primary audience, bei yake ni zaidi ya milioni so definitely sio anachozungumzia mleta mada hapa.
 
Bado imo mule mule KWENYE context ya reply YAKO ya kwanza kwamba point and shoot sio Bora KULIKO simu .


Je hiyo sio point and shoot?

Hatuzungumzii vlogger tunazungumzia point and shoot/digital/compact camera kama mtoa maada au vlogger ni canera?
 
Bado imo mule mule KWENYE context ya reply YAKO ya kwanza kwamba point and shoot sio Bora KULIKO simu .


Je hiyo sio point and shoot?

Hatuzungumzii vlogger tunazungumzia point and shoot/digital/compact camera kama mtoa maada au vlogger ni canera?
Sasa point and shoot and gimbal wapi na wapi? Point and shoot ni camera inakaa mfukoni umeona kitu kizuri unaitoa unapiga inarudi, kuanza kuchukua tripod, ufungue sijui uisimamishe upachike camera tuanze kurekodi hio sio point and shoot. Review nilizoangalia ulivyo mention camera hazitofautiani na ninachosema hapa.

Kufunga mjadala tusiandikie mate nikupe links uangalie mwenyewe

View: https://m.youtube.com/watch?v=0MmfuZx_hi4&pp=ygUNWnYxIHZzIElQaG9uZQ%3D%3D
Angalia hio video wakati wapo indoor na Sony ipo kwenye comfort zone yake juu ya Tripod vyote Audio na video ipo superior kwa Iphone.

Ila walivyo toka tu nje ikageuka, Sony hana stabilization, video ipo chopy na audio sio nzuri, ila Iphone Audio nzuri na video ipo smooth unaona kabisa superiority ya OIS hapo.


Skip mpaka dakika 4 sekunde 30 kuona hio choppy video ya jamaa.

So hapo inaonesha ili utake advantage ya hio camera inabidi uwe na vifaa vyake tena uwe umetulia, mfano hio kazi ya vlogger, ila matumizi ya kawaida ya kila siku ya binadamu kupiga picha simu ni nzuri zaidi.
 
Hilo sip tatizo je hiyo sio compact camera? Ni nini maana haipo KWENYE DSLR. Unaenda mbali sana kuhakinkwamba that is it na inaweza tumika vyovyite sio lazima usem Sony cyber shot ndio compact the compact ni camera isiyobadili lens nrejw maelezo YAKO kwahiyo camera za simu haziwezi kuhit compact Kwa vyovyite vile labda moigaji hajui. Tafuta cybershot test kupiga picha Kisha tumia simu uweke hapa HATA TU flash yake HUWEZI linganisha na yasimu hii built in.


Usiitoe hiyo camera KWENYE point and shoot group HATA siku moja na ukitoa tuambue hapa ipo lwenye group gani just yes or notau tuambue HUWEZI kushoit na zv1 BILA msaada WA chochote?
 
Kamera za simu haziwez kukuta DSLR camera hata kidogo wala haitakuja kuweza kukuta kwa sababu ya smartphones hazina uwezo wa kutengenezwa na lenz bora na zenye ukubwa unaofaa kulingana na DSLR... ila smartphone zinaweza kuzid kamera kwenye image processing (smartphone inaedit picha ili ionekane vizuri japo lenz hazina uwezo mkubwa kama dslr(
 
Boss Nimekupa video kabisa ili hio camera iipite simu inabidi uwe na vifaa vya kisasa kui support mfano hio gimbal ulio sema ila ukiitumia yenyewe kama yenyewe inapitwa na simu, nini huja elewa hapo?

Unapoitumia na vifaa vingine tayari inakuwa sio point and shoot Camera hata kama ni compact, huwezi tembea barabarani na migongo gongo yako na mitaa eti upige picha, hivi ni vitu ambavyo vinawekwa studio ama mahala maalum ambazo pro wanafanya kazi zao.

So long story short unaweza kuitumia kama compact ila haitakupa quality superior kwa simu.
 
Asante,DSLR camera ni kamera ya aina gani?Je hio niliyoweka hapo juu inaweza ikawa dslr?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…