Je, kampuni ya Wind East Africa ya Wamarekani wenye uswahiba na January Makamba kupewa tenda ya umeme wa upepo?

Renewable energy sources, waje tu, hata kama ni marafiki wa Mwigulu, bodi nzima ya BoT na TANESCO, maadam hii shida ya umeme itaisha.

Everyday is Saturday................................😎
 
Tatizo SAMIA hajui system ya nchi ilivyo kama alivyokuwa Magu, Hivi samia toka March mwaka huu hajaweka watu wake mahsusi wa kumpa Taarifa nyeti ukiachana na TISS? au atumie vzr TISS kumpa umbeya wa kila jambo, sasa yeye amekalia kusafiri safiri tu! Hasomi mafiles kwa wakati,
 
Ufisadi kwenye sekta ya nishati na madini hautakaa uishe nchi hiii.

Hao wamarekani ndio vinara wa kutulemaza kupitia sekta ya nishati na madini.
 
Tatizo mtu kwa tamaa ya madaraka ulishakua dalali. Huyo jamaa simuamini hata chembe maana yeye anatafuta fulsa kwa watu wa nje kwa maslahi binafsi ndani ya tanesco. Hana mtazamo wa ndani kwa tanesco kupata ufumbuzi wa matatizo. Kuingia tu hata hajaelewa kitu kwenye wizara kafanya ziara uarabuni na afrika ya kaskazini.
 
Halafu wataingia mkataba wa miaka 20 huku wakijua kuwa JNHP Rufiji inzkamilika mwakani.
 
Kiongozi ambaye anapaswa kuwa makini kuliko wote hivi sasa ni January Makamba....kwa jinsi watu wanavyomshutumu na kumshuku kwa mambo mbalimbali anaweza kufikia yale yaliyomfika Sabaya jr.
 
Tupe ushahidi wa uhusika wa January Makamba na iyo kampuni!

Naona sukuma gang mnaendelea na ngonjerq zenu dhidi ya January🤣🤣🤣

Na atawalaza vifua wazi Safari hii! Kila kukicha hamlali ni yeye tu
 
Renewable energy not bad and we should encourage hizo investment, na kama wanatumia pesa zao wenyewe kujenga huo umeme waje wengi tuu wawekeze na hata tax break tuwape maana tunahitaji umeme sana kwa maendeleo yetu, wanunuzi na soko la ushindani vitaamua nani fake
 
Lisu alipigwa risasi mchana kweuuuupe na hakuna aliyekamatwa au baba yake uchunguzi, nchi ilikuwa salama kweli kweli
Kama kwa zaidi ya miaka mitano unazungumzia tukio moja tu, basi ujue nchi hii ni salama sana. Angalia taarifa za Marekani, kila dakika moja anauwawa mtu na moja ya tatu tu ya wahusika ndio wanaokamatwa. Tanzania chini ya Jiwe ilikiwa vizuri sana na shahidi ni wewe.
 
Makamba ni tishio la urais kwa kina Mwigulu na waroho wengine wa madaraka.
Atapigwa majungu hadi maji aite mma.
 
Uliwai kuuliza nani mmiliki wa Mayanga Construction iliyopewa tenda kujenga uwanja wa ndege wa chato?

Kuna wazungu wanaitwa Mayanga mkuu?! Duuh wazungu washaanza kutumia majina ya kibongo ili waonekane wazawa…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…