TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kama hakuna makando kando ya ufisadi, hiyo kampuni iruhusiwe hata kesho kufua umeme huo.kuzalisha umeme wa kutumia mafuta huku akipigia chapuo na kuielekeza Tanesco ijikite kwa haraka kutafuta kampuni za kufua umeme kwa njia ya upepo eti kwa kigezo cha ukamilishwaji wa
Sure; Strategically ni kielezi wakati Strategic ni kivumishiBoss ukisha anza na very huwezi kumalizia na.... lly hapo ulitakiwa uishie stategic tofauti na hapo kiwe ni kiingereza version ya kipare
JHHP sio mradi wa JPM kama hawa wengi wanavyodhani. Huu mradi wakiuchezea, utageuka shubiri kwa watu wengi sana mbele ya safari. hekima lazima itumike. Watanzania wa leo sio wa jana maana wanajua wanachotaka. Na wa kesho ndio kabisa hawatakubali kuchezewaHuyu jamaa badala ya kuelekeza nguvu JNHP anajisemeza hovyo tu na maproject kibao ,Ila yana mwisho haya
Waziri alisema kukatika kwa umeme mara kwa mara ni kwa sababu ya scheduled repair siyo upungufu wa uzalishaji.Nyakati hizi hata kinyerezi 2 ingeboost kiasi tatizo la umeme sema wapigaji ndio wamedhamiria kutupiga
Ungesema upepo ndiyo risk ningekuelewa. Endapo wind turbine braking system yake itakuwa na hitilafu ukija upepo ulio kwenye speed zaidi ya cut out speed/velocity ya turbine hiyo kuwaka moto kwake ni Jambo la uhakika.Solar risk Sana kulipuka
Kama TANESCO inakuwa na pesa ya kulipia huo umeme utakaozalishwa na hayo makampuni binafsi, kwanini TANESCO wasianzishe miradi yao wenyewe kuzalisha huo umeme wa upepo au jua?!Mradi wa Umeme wa upepo ni hatua nzuri, hata solar energy ni miradi mizuri endapo tu hakuna ufisadi ndani yake.
Weka kumi kutoka kwenye hiyo mingi!Huyo amezungumziwa kama mfano kwa kuwa ni prominent politician, mifano iko mingi sana.
Sheria ya TISS nadhani inaruhusu viongozi kupata huduma hii kutoka kitengo hiki bila shida.Ndani ya TISS angeteneza timu yake ya trustees ili hata anapokutana na mawaziri au makatibu wakuu wa wizara mbalimbali au wakurugenzi wa idara anakuwa tayari na information kabla hata hawamkabidhi ripoti zao, hawa hao watendaji wake wakijua anatumia mfumo huo upigaji au kumpatia taarifa zisizo sahihi wanakuwa na uoga.
Kambarage na Jiwe ndiyo walijua sana mbinu za kutengeza vikundi vitiifu ndani ya TISS.
Utakuwa umemamaliza mitihani ya Form Two wewe. Utajibiwa na saizi yako.Waliotekwa
MO
Roma
Waliotekwa na kuteswa
Mdude
Waliopotezwa/waliotokomezwa
Ben Saanane
Gwanda
To mention just a few.
Dah muda huu tutaona yote yale waliyobaniewa kwa ufisadi yakijitokezaKampuni ya Marekani inayojishughulisha na ufuaji wa umeme wa upepo iliyopigiwa debe mwaka 2013 na Rais Obama ili ije kufua umeme wa upepo kule Singida huenda ikapewa tenda hiyo mapema mwishoni mwa mwaka huu ama mapema mwakani.
Ikumbukwe ndugu Rashid Shamte ambaye ni boss wa hiyo kampuni hapa Tanzania ni swahiba wa kufa na kuzikana wa January.
Ikumbukwe leo January Makamba ameiagiza Tanesco isiingie mkataba na kampuni za kuzalisha umeme wa kutumia mafuta huku akipigia chapuo na kuielekeza Tanesco ijikite kwa haraka kutafuta kampuni za kufua umeme kwa njia ya upepo eti kwa kigezo cha ukamilishwaji wa shughuli hiyo hautachukua muda mrefu [emoji23].
Je, hatupigwi kweli?!
Kama hakuna makando kando ya ufisadi, hiyo kampuni iruhusiwe hata kesho kufua umeme huo.
Nishati ya mafuta/fossil fuel si rafiki katika kudhibiti global warming. Hapa naungana na JM kupinga mikataba ya uzalishaji wa umeme wa mafuta.
Kwhyo mtu akiwa rafiki na Makamba basi anakosa haki ya kuwekeza!??? Tuanze na wewe kwanza,baba ako ana sh ngapi apewe tenda badala ya rafiki yake na Makamba.Kampuni ya Marekani inayojishughulisha na ufuaji wa umeme wa upepo iliyopigiwa debe mwaka 2013 na Rais Obama ili ije kufua umeme wa upepo kule Singida huenda ikapewa tenda hiyo mapema mwishoni mwa mwaka huu ama mapema mwakani.
Ikumbukwe ndugu Rashid Shamte ambaye ni boss wa hiyo kampuni hapa Tanzania ni swahiba wa kufa na kuzikana wa January.
Ikumbukwe leo January Makamba ameiagiza Tanesco isiingie mkataba na kampuni za kuzalisha umeme wa kutumia mafuta huku akipigia chapuo na kuielekeza Tanesco ijikite kwa haraka kutafuta kampuni za kufua umeme kwa njia ya upepo eti kwa kigezo cha ukamilishwaji wa shughuli hiyo hautachukua muda mrefu π.
Je, hatupigwi kweli?!
Na badoKampuni ya Marekani inayojishughulisha na ufuaji wa umeme wa upepo iliyopigiwa debe mwaka 2013 na Rais Obama ili ije kufua umeme wa upepo kule Singida huenda ikapewa tenda hiyo mapema mwishoni mwa mwaka huu ama mapema mwakani.
Ikumbukwe ndugu Rashid Shamte ambaye ni boss wa hiyo kampuni hapa Tanzania ni swahiba wa kufa na kuzikana wa January.
Ikumbukwe leo January Makamba ameiagiza Tanesco isiingie mkataba na kampuni za kuzalisha umeme wa kutumia mafuta huku akipigia chapuo na kuielekeza Tanesco ijikite kwa haraka kutafuta kampuni za kufua umeme kwa njia ya upepo eti kwa kigezo cha ukamilishwaji wa shughuli hiyo hautachukua muda mrefu π.
Je, hatupigwi kweli?!
Napita sasa hivi nisubiri hapo chini ya mti.Nipitie hapa Kwala
Ifike wakati tupende maendeleo kuliko chuki na fitna za ajabuajabu! Duniani kila binadamu huja na thawabu yake aliyopewa na MUNGU na hii humfanya kila mtu kuwa daraja kwa mwingine au wengine na ndio maana halisi ya kutegemeana! Kuna wengine wao watabaki tegemezi kuna wengine MUNGU atawapa ili wengine wapate! Kama mradi utapitia kwa makamba au maminyororo lakini tatizo likatatuliwa sioni dhambi hapo! Na hata kama atafaidika na chochote nayo sio dhambi kwani mpishi lazima alambe mwiko! Hii dhana ya kuwachukia wa tanzania wenzenu kisa tu wanakibali cha kukubalika na wengine ifike mahali tuachane na hii dhambi! Riziki zinakuja mnazikunjia roho mbaya!Kampuni ya Marekani inayojishughulisha na ufuaji wa umeme wa upepo iliyopigiwa debe mwaka 2013 na Rais Obama ili ije kufua umeme wa upepo kule Singida huenda ikapewa tenda hiyo mapema mwishoni mwa mwaka huu ama mapema mwakani.
Ikumbukwe ndugu Rashid Shamte ambaye ni boss wa hiyo kampuni hapa Tanzania ni swahiba wa kufa na kuzikana wa January.
Ikumbukwe leo January Makamba ameiagiza Tanesco isiingie mkataba na kampuni za kuzalisha umeme wa kutumia mafuta huku akipigia chapuo na kuielekeza Tanesco ijikite kwa haraka kutafuta kampuni za kufua umeme kwa njia ya upepo eti kwa kigezo cha ukamilishwaji wa shughuli hiyo hautachukua muda mrefu π.
Je, hatupigwi kweli?!
Sijui ata ofisini anakaa saa ngapiTatizo SAMIA hajui system ya nchi ilivyo kama alivyokuwa Magu, Hivi samia toka March mwaka huu hajaweka watu wake mahsusi wa kumpa Taarifa nyeti ukiachana na TISS? au atumie vzr TISS kumpa umbeya wa kila jambo, sasa yeye amekalia kusafiri safiri tu! Hasomi mafiles kwa wakati,