Ndugu jokerii acha wafute hata wajifute wenyewe.Amani iwe nanyi waungwana wa jukwaa hili pendwa kabisa!
Moja kwa Moja niende kwenye mada au swali langu kwenu wakuu, kufuatia press iliyofanywa na mbunge wa kawe na kiongozi wa kanisa la ufufuo na uzima Hon.Dr.Bishop Josephat Gwajima kuhusu Hali ya kisiasa nchini imepelekea kufutwa kwa kanisa lake, Huwa tunashuhudia nyaraka kutoka TEC zinazozungumzia na kuhoji mambo kama hayahaya je kwanini na wao wasifutiwe usajili wao kama walivyofanya haraka sana kwa kanisa la ufufuo na uzima.?
Uzi tayari.
Linachanganya.Lifungiwe tuuone uhalisia wa ubaya ubwela bibi kajabwela.Amani iwe nanyi waungwana wa jukwaa hili pendwa kabisa!
Moja kwa Moja niende kwenye mada au swali langu kwenu wakuu, kufuatia press iliyofanywa na mbunge wa kawe na kiongozi wa kanisa la ufufuo na uzima Hon.Dr.Bishop Josephat Gwajima kuhusu Hali ya kisiasa nchini imepelekea kufutwa kwa kanisa lake, Huwa tunashuhudia nyaraka kutoka TEC zinazozungumzia na kuhoji mambo kama hayahaya je kwanini na wao wasifutiwe usajili wao kama walivyofanya haraka sana kwa kanisa la ufufuo na uzima.?
Uzi tayari.
wakatoliki wanachagua maneno,hawapayuki kama hao wengineAmani iwe nanyi waungwana wa jukwaa hili pendwa kabisa!
Moja kwa Moja niende kwenye mada au swali langu kwenu wakuu, kufuatia press iliyofanywa na mbunge wa kawe na kiongozi wa kanisa la ufufuo na uzima Hon.Dr.Bishop Josephat Gwajima kuhusu Hali ya kisiasa nchini imepelekea kufutwa kwa kanisa lake, Huwa tunashuhudia nyaraka kutoka TEC zinazozungumzia na kuhoji mambo kama hayahaya je kwanini na wao wasifutiwe usajili wao kama walivyofanya haraka sana kwa kanisa la ufufuo na uzima.?
Uzi tayari.
Kuchagua maneno au ni maneno kadiri ya masikio na akili za kiuchambuzi za msikilizaji?wakatoliki wanachagua maneno,hawapayuki kama hao wengine
Kwanini wao na sio wengine mkuu?UNTOUCHABLE
RC
KKKT
😂😂Lin
Linachanganya.Lifungiwe tuuone uhalisia wa ubaya ubwela bibi kajabwela.
Punguza kujidanganyaAmani iwe nanyi waungwana wa jukwaa hili pendwa kabisa!
Moja kwa Moja niende kwenye mada au swali langu kwenu wakuu, kufuatia press iliyofanywa na mbunge wa kawe na kiongozi wa kanisa la ufufuo na uzima Hon.Dr.Bishop Josephat Gwajima kuhusu Hali ya kisiasa nchini imepelekea kufutwa kwa kanisa lake, Huwa tunashuhudia nyaraka kutoka TEC zinazozungumzia na kuhoji mambo kama hayahaya je kwanini na wao wasifutiwe usajili wao kama walivyofanya haraka sana kwa kanisa la ufufuo na uzima.?
Uzi tayari.
Au unasemaje ndugu-digital?
kanisa katoliki wana utaratibu wa agenda za misa za kila siku na kila jumapili tofauti na gwajima atakurupuka na jambo la uaraiani au kwenye majukwaa ya kisisa na ndio hilo hilo likawa agenda ya ibada yake kanisaniAmani iwe nanyi waungwana wa jukwaa hili pendwa kabisa!
Moja kwa Moja niende kwenye mada au swali langu kwenu wakuu, kufuatia press iliyofanywa na mbunge wa kawe na kiongozi wa kanisa la ufufuo na uzima Hon.Dr.Bishop Josephat Gwajima kuhusu Hali ya kisiasa nchini imepelekea kufutwa kwa kanisa lake, Huwa tunashuhudia nyaraka kutoka TEC zinazozungumzia na kuhoji mambo kama hayahaya je kwanini na wao wasifutiwe usajili wao kama walivyofanya haraka sana kwa kanisa la ufufuo na uzima.?
Uzi tayari.
Naomba unielekeze mkuu, issue Iko vipi?Punguza kujidanganya
Nakubaliana na wewe mkuu 100% (Catholics wanachanganya DINI na SIASA na wao wanastahili kupitia alichopitia gwajiboy)Au unasemaje ndugu-digital?
Dini ni siasa, utafanyaje dini bila siasa wakati hata kwenye vitabu vya dini kuna mitume wamekemea wafalme?Amani iwe nanyi waungwana wa jukwaa hili pendwa kabisa!
Moja kwa Moja niende kwenye mada au swali langu kwenu wakuu, kufuatia press iliyofanywa na mbunge wa kawe na kiongozi wa kanisa la ufufuo na uzima Hon.Dr.Bishop Josephat Gwajima kuhusu Hali ya kisiasa nchini imepelekea kufutwa kwa kanisa lake, Huwa tunashuhudia nyaraka kutoka TEC zinazozungumzia na kuhoji mambo kama hayahaya je kwanini na wao wasifutiwe usajili wao kama walivyofanya haraka sana kwa kanisa la ufufuo na uzima.?
Uzi tayari.
Issue kubwa kwanini watumie madhabahu kuongelea siasa? Huoni wanachanganya DINI na SIASA? Issue sio kufanya ibada Kila siku au Kila jumapilikanisa katoliki wana utaratibu wa agenda za misa za kila siku na kila jumapili tofauti na gwajima atakurupuka na jambo la uaraiani au kwenye majukwaa ya kisisa na ndio hilo hilo likawa agenda ya ibada yake kanisani
Kwani mbu akitua kwenye korodani huwa tunatumia mkuki kumdhibiti?Kwanini wao na sio wengine mkuu?