Barua ile ni fake ambayo imegeuka kuwa real. Msajìli hawezi fungia kanisa direct, kuna taratibu za kufuata.Amani iwe nanyi waungwana wa jukwaa hili pendwa kabisa!
Moja kwa Moja niende kwenye mada au swali langu kwenu wakuu, kufuatia press iliyofanywa na mbunge wa kawe na kiongozi wa kanisa la ufufuo na uzima Hon.Dr.Bishop Josephat Gwajima kuhusu Hali ya kisiasa nchini imepelekea kufutwa kwa kanisa lake, Huwa tunashuhudia nyaraka kutoka TEC zinazozungumzia na kuhoji mambo kama hayahaya je kwanini na wao wasifutiwe usajili wao kama walivyofanya haraka sana kwa kanisa la ufufuo na uzima.?
Uzi tayari.
Sasa iweje gwajiboy aonewe mkuu?Dini ni siasa, utafanyaje dini bila siasa wakati hata kwenye vitabu vya dini kuna mitume wamekemea wafalme?
AiseeBarua ile ni fake ambayo imegeuka kuwa real. Msajìli hawezi fungia kanisa direct, kuna taratibu za kufuata.
Asante kwa ufafanuzi mzuri mkuu, HEKO kwakoHuwez kutenganisha dini na siasa , siasa ni Maisha ya watu ambao ni waumini wa dini tofauti tofauti sasa unawezaje kutenganisha Maisha na watu ?
Katoliki ni taasisi inayojitambua, haifanyi shughuli za kiibada pekee. ina wanadiplomasia mahiri, inajua iseme nini wakati gani na kwanini. Mfano saizi iko kimya inajaribu kupima upepo. Gwajima kumhusisha Rais na utekaji kwa moja kwa moja hivyo alipitoka kidogo. Jamaa wakiamua hatoboi nashangaa walokuwa wakimsifia....kana kwamba yeye ni noma sana kuzidi hat Rais.. nadhani nguvu ya Rais hatuijui...wakatoliki wanachagua maneno,hawapayuki kama hao wengine
Simaanishi parokia mkuu, namaanisha kanisa katoliki lifufutwe TZ kama Ufufuo na Uzima lilivyofutwaUtafungia parokia gani?
Kwanini wakati mamla yote wanayo?Iyo jeuri hana
Unajua kama alienda kimya kimya kumuona padri alie jeruhiwa ?Kwanini wakati mamla yote wanayo?
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌Weee Kuna sehemu zinaitwa untouchable ni pamoja na Rc KKKT
Hawa walijipanga mapema kiuchumi, kielimu kwahy unapowagusa kwa nchi kama Yetu tegemea majanga ambayo ata serikali haiwezi kuyadhibita haraka na kwa muda mfupi
😂😂Ili kusawazisha mambo?Unajua kama alienda kimya kimya kumuona padri alie jeruhiwa ?
Waambie hao wapuuzi wako wajaribu kuligusa Kanisa Takatifu la Mitume, halafu waone moto wake.Amani iwe nanyi waungwana wa jukwaa hili pendwa kabisa!
Moja kwa Moja niende kwenye mada au swali langu kwenu wakuu, kufuatia press iliyofanywa na mbunge wa kawe na kiongozi wa kanisa la ufufuo na uzima Hon.Dr.Bishop Josephat Gwajima kuhusu Hali ya kisiasa nchini imepelekea kufutwa kwa kanisa lake, Huwa tunashuhudia nyaraka kutoka TEC zinazozungumzia na kuhoji mambo kama hayahaya je kwanini na wao wasifutiwe usajili wao kama walivyofanya haraka sana kwa kanisa la ufufuo na uzima.?
Uzi tayari.
siasa na dini ni nyanja mbili tofauti, lakini haziko mbali kama watu wanavyodhani. Kiongozi wa dini ni sehemu ya jamii na ana wajibu wa kuwaongoza waumini siyo tu kiroho bali pia kuwasaidia kuelewa mambo ya kijamii ikiwa ni pamoja na siasa.Issue kubwa kwanini watumie madhabahu kuongelea siasa? Huoni wanachanganya DINI na SIASA? Issue sio kufanya ibada Kila siku au Kila jumapili
Bila shaka hao "wapuuzi" wanapita hapa jukwaani wanaonaWaambie hao wapuuzi wako wajaribu kuligusa Kanisa Takatifu la Mitume, halafu waone moto wake.
Uwezo huo anao ila hana sababu ya kufanya hivyo na hata kanisa la gwajima tumeona barua hatujasikia kiongozi yeyote akitoka hadharani kutoa ufafanuzi, mintarafu kuhusu kufutwa kwa kanisa katoliki na mamlaka, limekuwepo tangu karne ya kwanza na limeendelea mpaka sasa, lakini wote waliotaka kulifuta wamefutika wao lenyewe linaendelea, tena kwa wakatoliki haikuwa kulifuta kanisa kwa barua au maneno Bali kuwafuta wakatoliki wasiwepo hata mmoja aliyesalia, hapo utakumbuka kuchinjwa kwa maelfu elfu ya wakatoliki toka enzi za Gamariel, makaisari wa Roma, ukomunisiti, unazi, utawala wa buganda, hata hapo pugu na bagamoyo yapo makaburi zaidi ya mia, kwa hiyo akitokea mtu leo akataka kulifuta kanisa katoliki hatakuwa wa kwanza na wala hatakuwa wa mwisho, ukweli machungu ni kwamba, hawezi kufanikiwa, kinyume chake yapo makanisa lukuki yameanzishwa na kufa yenyewe bila kuuliwa na mtu, mengine mwanzilishi akifa, na kanisa linakufa, kuna makanisa hayahitaji kuyafuta maana ni lazima yatakufa tu mwisho wa siku.Simaanishi parokia mkuu, namaanisha kanisa katoliki lifufutwe TZ kama Ufufuo na Uzima lilivyofutwa
Sasa iweje gwajiboy aonewe mkuu?