Chilemba wamela pamputi
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 544
- 598
Na vipi wanapo alikwa kwenye hafla za kiserikali wanakuwa wanatiniza nini? Dini au siasa?Issue kubwa kwanini watumie madhabahu kuongelea siasa? Huoni wanachanganya DINI na SIASA? Issue sio kufanya ibada Kila siku au Kila jumapili