Chilemba wamela pamputi JF-Expert Member Joined Jan 10, 2019 Posts 544 Reaction score 598 Jun 3, 2025 #61 Jokeri112 said: Issue kubwa kwanini watumie madhabahu kuongelea siasa? Huoni wanachanganya DINI na SIASA? Issue sio kufanya ibada Kila siku au Kila jumapili Click to expand... Na vipi wanapo alikwa kwenye hafla za kiserikali wanakuwa wanatiniza nini? Dini au siasa?
Jokeri112 said: Issue kubwa kwanini watumie madhabahu kuongelea siasa? Huoni wanachanganya DINI na SIASA? Issue sio kufanya ibada Kila siku au Kila jumapili Click to expand... Na vipi wanapo alikwa kwenye hafla za kiserikali wanakuwa wanatiniza nini? Dini au siasa?
J Jokeri112 JF-Expert Member Joined Apr 14, 2025 Posts 311 Reaction score 582 Jun 3, 2025 Thread starter #62 fogoh2 said: Kitima yuko wapi Click to expand... Kapona mkuu, Leo kaadhimisha Misa ya shukrani. "Chuma kimerudi barabarani"
fogoh2 said: Kitima yuko wapi Click to expand... Kapona mkuu, Leo kaadhimisha Misa ya shukrani. "Chuma kimerudi barabarani"