Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
Kwa mujibu wa Maandiko ukichunguza ,ALAMA ya mnyama inahusihana na Ibada ,sio kwamba utakuja siku Moja upigwe chapa usoni au mkononipole; nasubiri.>.
Ni dhahiri unabii sio lazima utimie dunia nzima ,katika kujifunza kwangu Maandiko niligundua unabii unaweza kutimia eneo Moja na shughuli ikawa imepita
Mfano leo Kuna watu wanajua unabii wa MUUNGANO WA DINI MOJA YA ULIMWENGU ,lakini Kuna watu wanasubiri siku Moja labda hapa TZ tutaambiwa ,kumbe mfano umeshatimia ,mfano Mwaka huu pale Falme za kiarabu wamejenga na kuzindua Majengo matatu la UYAHUDI,UKRISTO NA UISLAMU ,
Pia umewahi kusikia kitu kinaitwa CHRISLAM ? Ingia Googe andika hivo utaletewa
Huo unabii umetajwa kitabu Cha Ufunuo
Kuna kitu kinaitwa MABADILIKO YA TABIA NCHI ,
Hivi kweli unajua ni nini kipo nyuma ya harakati ya mabadiliko ya tabia nchi (climate change)? Maraisi wamekuwa wakihudhuria , Kuna ile COP 26/27 ,
Kuna maneno haya ambayo ni maarufu sana kwenye vikao na nyaraka za mabadiliko ya tabia nchi. Na hayo ni,
Common good
Common home
[emoji3516]Nyuma ya haya maneno kuna agenda ya kuwa na lock down kwa kila jumapili kwa dunia nzima. Hivyo uonapo viongozi wa dunia wanakusanyika kwenye vikao vya kujadili hoja za climate change, usifikiri wanaenda kupiga zogo tu. Ni Sirius inshu na ndio maana kodi ya mazingira imeanzishwa, kila nchi inalipa fee ya mazingira kulingana na uwezo wa nchi pamoja na uzito wa uharibifu kwa nchi inayozalisha hewa ya ukaa zaidi. Lengo ni kuiokoa dunia ili iwe ya kijani kwa kuondoa hewa ya ukaa (carbon). Kwamba mataifa yasipokaa pamoja na kuiokoa hii dunia ifikapo 2030 inaweza kuwa katika uangamivu. Hivyo agenda hii inamwondoa Mungu wa kibinafsi anayeokoa na kumleta mungu wa mazingira, mungu anayesambaa (spiritualism).
Ngoja nikusaidie hapa kuelewa: Common home ina maanisha kuitunza nyumba yetu ya pamoja na common good ni kufikia malengo ya pamoja. Na nyumba ya pamoja ni mama dunia, atunzwe kiulimwengu kwa kupumzishwa kwa kila siku moja ya juma pamoja na mengineyo. Na common good kufikia malengo ya pamoja ifikapo 2030 dunia iwe imefikia hatua bora ya maisha kwa kila mkazi wa dunia. Hivyo leo ukiona harakati ya kiulimwengu au ya kitaifa ya utunzaji wa mazingira jua kabisa ni (utunzaji wa jumapili ya utatu Mtakatifu). Itaitwa jumapili ya pumziko la mazingira, ambayo itatumika pia kwa familia na ibada.
Najua hapa watu wa dini wanaweza kuja kuleta misimamo ya kidini lakini nachokiongelea ni uhalisi ambao utakuja kwa kila mtu, itafika mahali hata utaratibu wa bustani yako utapangiwa maana uoto wa asili, mimea, na asili yote kwa ujumla itasimamiwa na serikali au mashirika ya udhibiti. Maana asili sasa imepandishwa hadhi kwa kuitwa dada, mama, na kaka yaani imepewa udugu pamoja nasi. Hata Jua linaitwa kaka na mwezi unaitwa dada. Hivyo kamwe huwezi kuukataa mti wako hapo nyumbani kwako bila kuruhusiwa na serikali ya mtaa (local government). Huko Moshi hali kama hii ipo tayari, sijui kwa mikoa mingine. Yapo mazuri kwenye harakati hii lakini lengo ama goal kuu ni kupumzishwa kwa kila jumapili kidunia kwa sharti la lazima.
Harakati hii inatoka Vatican, ni Catholic social teachings ambayo inapigiwa mchepuo na UN.
Tazama
Laudato Si': On the Care for our Common Home.
Utakuta hapo yote na zaidi ya niliyosema.