Je, Kanisa Katoliki ndiye mnyama wa nne duniani wa Unabii wa Daniel na Ufunuo?


Mathayo 5:17
Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabi; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Think not that I am come to destroy the law, or the prophets: I am not come to destroy, but to fulfil.

Kwa taarifa yako Yesu alivyokuja hakuna amri hata 1 aliyoibadili zaidi yeye ndo alikuja kuzifafanua na kupiga kwenye mshono
 
NGOJA NIKUJIBU KWA KITABU KIDOGO UNACHOKIAMINI.

Quran5. 47.
Quran 2:62.
Quran 62.3.

Aya zote HIZI zinasisitiza kuwa walioamini Mitume WA zamani ni WA KRISTO.

N:B YESU ALILETA UKOMBOZI ALITUMWA KUJA KUUKOMBOA ULIMWENGU. HAKULETA MASUALA YA DINI.
Hi ni ibada yake ya mwisho aliifanya siku Chache kabla ajapaa mbinguni Wala haifanani na ibada za kikristo

Hapa alisujudu Yani paji la uso wake kugusa aridhi akiwa anapeleka maombi yake Kwa Mungu mmoja tu aliyeumba mbingu na aridhi

Mathayo 26:39
Akaendelea mbele kidogo, akaanguka kifulifuli, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.

Kama unao ushahidi weka hapa tuone kuwa

1) Yesu ndio ameanzisha dini ya ukristo
2) Yesu dini yake ilikuwa ukristo
3) Yesu aliifanya ibada Kwa kupiga magoti kanisani ibada ikiongozwa na padri au mchungaji


Unachekesha sana Yani mkristo unataka Quran iharalishe ukristo wako

Swali langu nikwamba Yesu haitambui dini ya ukristo

Kama unalo andiko katika Injili au Quran kuwa Yesu anaitambua dini ya ukristo na yeye ndio aliyeaianzisha ukristo na yeye alikuwa mkristo kama wewe weka hapa hayo maandiko tuyaone

Ilituamini kuwa ukristo na usabato sio zao la mnyama 666
 
KWANI KUSUJUDI NI KUFANYA NINI?

Ni Heshima au Ibada??
Yesu Ametahadharisha sana kusujudu na kupata alama usoni(sigda)

Revelation 14:9-12
[9]Na mwingine, malaika wa tatu, akawafuata, akisema kwa sauti kuu, Mtu awaye yote akimsujudu huyo mnyama na sanamu yake, na kuipokea chapa katika kipaji cha uso wake, au katika mkono wake,

[10]yeye naye atakunywa katika mvinyo ya ghadhabu ya Mungu iliyotengenezwa, pasipo kuchanganywa na maji, katika kikombe cha hasira yake; naye atateswa kwa moto na kiberiti mbele ya malaika watakatifu, na mbele za Mwana-Kondoo.

[11]Na moshi wa maumivu yao hupanda juu hata milele na milele, wala hawana raha mchana wala usiku, hao wamsujuduo huyo mnyama na sanamu yake, na kila aipokeaye chapa ya jina lake.

[12]Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao amri za Mungu, na imani ya Yesu.

Tunaona watu wanasujudu na kupata sigda ukiwauliza kuhusu hiyo sigda wanakujibu hiyo ni tochi! Cha kushangara Mungu ni Nuru hiyo tochi ya kumulika kuzimu Wanako enda?? Ref!; Suratul mariam.71!

Jee shetani uchu wake wa kusujudiwa uliisha??
Kawapata wa kumsujudia
 



NIMEJARIBU KUKUWEKEA AYA CHACHE ZINAZOSEMA WA KRISTO.
YANI WATU WA MUNGU.

WAGALATIA 3: 29.

Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi.

MARKO 9 :41.

Kwa kuwa ye yote atakayewanywesha ninyi kikombe cha maji, kwa kuwa ninyi ni watu wa Kristo, amin, nawaambia, hatakosa thawabu yake.

1WAKORINTO 3:23.
nanyi ni wa Kristo, na Kristo ni wa Mungu.

2. WAKORINTO 10: 7.
Yaangalieni yaliyo mbele ya macho yenu. Mtu akijitumainia mwenyewe ya kuwa ni mtu wa Kristo, na afikiri hivi pia nafsini mwake, ya kwamba kama yeye alivyo mtu wa Kristo, vivyo hivyo na sisi

N:B YESU HAKULETA DINI
 


NYIE jamaa akili ZENU siziwezagi.


Ukinisaidia maana ya DINI tunaweza tukajadiliana.

1.Dini ni nini.???
2. DINI ni kitu Gani.????
3.Dini ni chombo Gani????
4. DINI MAANA yake nini????.??

Ukinipa maana ya Neno DINI tunaweza tukawa na Mjadala mzuri.

Tuanzie hapo DINI ni Nini??????
 

Kwani huyo Yesu mambo ya agano la kale aliyaacha alipokuwa duniani?
 
Watu hawaelewi hilo andiko wanafikiri Yesu alikuja kuendeleza mambo ya kale, hapana, Yesu alileta upya wa mambo. …amri mpya nawapa pendaneni… Kuna visheria vingi sana vya Agano la Kale ambavyo Yesu hakuziishi wala hakufundisha watu waziishi. Yesu hakufundisha zaka wala hakutoa zaka. Yapo mengi.

Shida ya wasabato ni kuendelea na kujishika na Sabato kwa namna ya Agano la kale bila kutambua hata Yesu hakuzingatia hayo mambo na alilaumiwa kwa hilo na alitoa jibu kuwa yeye ni Bwana wa Sabato. Yesu ndiye kila kitu; njia, ukweli na uzima, Yesu ndye bwana wa sabato na yeye ndio hiyo sabato. Ukishakuwa na Yesu Sabato sio siku ya Jumamosi bali sabato ni imani na ibada yako kwa Yesu, Sabato ni wokovu wako, Sabato ni Yesu, ni Mungu mwenyewe.
 
"Dini zote ni uzushi mtupu hazimfanyi mtu kwenda mbingun maana Muumba wa kweli hana dini wala dhehebu, hata hayo maandiko yenu ya uongo mnayotumia kukalilishana hayatambui maana yametungwa kwa maslahi ya wachache".

Sina cha kuongezea hapo..
 
Upo sawa kabisa na hilo andiko ila ulakini wangu huwa unakuja upi uhakika wa sabato hii ya jumamosi ya kalenda ya Gregory?

Kwasababu kulikuwa na taratibu za kuandama kwa mwezi na ujio wa sabato ndivyo walivyo hesabu hata miezi haikuwa hii ya Jan to Dec hapo bado pananipa wakati mgumu mgumu mgumu zaidi.
 
Yah hapa mkuu umekwenda sahihi kabisa na tafsiri yake
 
Unafikiri lengo la Yesu ni kutufanya tukopi kila maisha na matendo aliyotenda? Yesu alitolewa hekaluni akiwa mtoto na njiwa wakitokewa dhabihu. Lakini sio lengo la Yesu kwamba wafuasi wake waige utamaduni huo.

Yapo mambo ya msingi ambayo Yesu anataka wafuasi wake (wakristo) tuyafuate mfano kuu kuliko yote ni upendo.

1) Yesu ndio ameanzisha dini ya ukristo
2) Yesu dini yake ilikuwa ukristo
3) Yesu aliifanya ibada Kwa kupiga magoti kanisani ibada ikiongozwa na padri au mchungaji


1. Unafikiri ni nani alianzisha imani kwa Kristo? Yesu aliwachagua mitume na kuwafundisha kwa muda wa miaka 3 na kuwaamuru kuyashika yote na kuyaeneza duniani kote. Ndio hao tangu enzi za Yesu wanaitwa wafuasi wa Yesu aitwaye Kristo au kwa kifupi wakristo.

2. Yesu alizaliwa kati ya watu waliokuwa wa dini ya kiyahudi lakini hakuwa mfuasi typical wa uyahudi alikuwa mwanamapinduzi au critic wa dini hiyo. Uyahudi wa leo ni ule ule wa zama za Yesu. Yesu hakuwa mkristo ila Kristo mwenyewe. Wafuasi wake wanaitwa wakristo.

3. Yesu alisali mlimani akisimama, kukaa, kulala kifudifudi na kupiga magoti na hakuna shida katika hayo wala hakuyakataza kwa wafuasi wake. Mitume na mashemasi waliwaongoza watu kuomba na ndio hao hao wanaongoza ibada za sala na maombi leo waitwe wachungaji, mababa wa Kanisa (mapadri), mashemasi, etc sio hoja.
 
Wapi imeandikwa mwanamke aketiye juu ya maji ni Kanisa Katoliki? Ni tafsiri potofu kama za Kibwetere wa Uganda na McKenzie wa Kenya. Hayo ndio makanisa nje ya Kanisa la Mitume mnaloliita Katoliki.
 
Yesu Kristo mwenyewe alionesha kuwa Sabato sio jambo muhimu na hakuna popote katika Maandiko panaonesha kwamba Yesu alikuwa ana utaratibu wa kusali siku ya Sabato. Wala Yesu hakufundisha watu kuishika Sabato!
 
Wapi imeandikwa mwanamke aketiye juu ya maji ni Kanisa Katoliki? Ni tafsiri potofu kama za Kibwetere wa Uganda na McKenzie wa Kenya. Hayo ndio makanisa nje ya Kanisa la Mitume mnaloliita Katoliki.

21 Watoto wadogo, jilindeni nafsi zenu na sanamu.
1 Yohana 5:21.

Basi kama unataka Biblia ikuambie hivyo hizo nakara zingepotezwa.

Hivi VITABU VYA kinabii vimeandikwa kwa mtindo huo Ili namna Mbaya yoyote isifanyike.

Remember.
JINSI Rumi ilivyolitesa kanisa.

Kuanzia KUMUUA YESU.
KUMUUA Stefano.
Mateso makali ya wanafunzi wa Yesu.
Kumsurubisha Petro.
Kumkaanga YOHANA kwa Mafuta nk..

Kama Hadi Leo hujui JINSI Rumi alivyolitesa kanisa la Mungu unapaswa kusoma sana.

MUNGU atakufunulia yote
 
Ukisoma historia vizuri ukajua ni Nani Alikuwa anaua watu wake aka watakatifu wake aka " the real judeans" kuanzia Israel Rome to Portugal to Spain to Sao tome then utajua huyo mnyama ni Nani. And why now anahangaika kuonganisha DINI zote ziwe Moja.
 
Umedanganywa na Nani ?

Upapa (Papacy system) ndio wameharibu Imani ya Ukristo


Ndio wameua maelfu ya wakristo
Mamlaka ya kitume yametiririka tangu mtume Petro, wakati wa Yesu hadi Francis leo hii. Haijalishi ni wanadamu wakosefu kwani hata Petro na wengine kama Yuda walichaguliwa na Yesu mwenyewe lakini walikuwa wana damu na ukosefu wao. Huwezi kumwita papa mpinga Kristo mtu anayemkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi! Sijui kwanini mnalazimisha upotofu huu?!
 
Hizi ndiyo mind zinazo dig deep hata mimi naamini almost wengi tunaabudu tusichokijua hilo 666 ni mfumo ulioharibu kabisa Imani ya kweli.
 
Wakristo ndio hawa wanaoabudu masanamu na kula nguruwe?

Mbona nyie mnaojiita wakristo mpo tofauti na Yesu alivyoagiza?


Mmejaa upagani mtupu
Hayo mambo ya kula hiki na kuacha kile wala Yesu hakusisitiza. Alisema sio kimwingiacho mtu kimtiacho unajisi bali kimtokacho. Inashangaza kwamba wasabato bado wameng’ ng’ana na Agano la Kale la mambo ya kimwili.

Waislamu wanaishika sheria ya kutokula nguruwe vizuri kuliko ninyi na haiwasaidii chochote kama ilivyo kwenu pia.
 
Makosa makubwa mno na ndipo upotofu wa wasabato ulipo. Dola ya Rumi sio Kanisa la Roma. Dola ya Roma ilihusika na kuwatesa baadhi ya mitume na kuwauwa, kama vile Petro na Paulo. Lakini sio Kanisa la Rumi. Kanisa la Rumi ndio lile ambalo Paulio analiandikia katika Waraka kwa Warumi na ndilo ambalo Petro alikuwa askofu wake wa kwanza na leo Francis (papa/baba) ni askofu wake wa 266!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…