Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Basi nifatilie ktk nyuz zangu utaelewa,ila hapa nimejikita kuhusu huyu mwakasege,Naweza nikashawishika kujiunga nawe huko ambako hakuna kanjanja
Kuna watu huwa uwezo wao wa kufikiria n mdogo mno Sasa bila kujua anabisha kitu akidhani anajua wakati uwezo was kupambanua mambo ni mdogo. Umeambia mwakasege syo mchungaji ni mwalimu na anzungunga nchi nzima kutangaza injili kwa kalibani zoteUmeelewa lakin au mnakurupuka? Kwann amejianzishia semina nje ya KKKT?
Eti anatangaza injili ,ndio maana mnaibiwa na kila mtu, hiyo injiri gani ? Unaijua injiri wewe? Hiv mnasoma biblia kweli? Hao watu anaowahubiria huwa anawabatiza kama agizo la Yesu? Je anawabatiza na kuwapeleka wapi?KKKT?Kuna watu huwa uwezo wao wa kufikiria n mdogo mno Sasa bila kujua anabisha kitu akidhani anajua wakati uwezo was kupambanua mambo ni mdogo. Umeambia mwakasege syo mchungaji ni mwalimu na anzungunga nchi nzima kutangaza injili kwa kalibani zote
Ndo maana nkakuambia chukua kitabu chako cha iman yako Soma kwa iman ingia chumban kwako Muombe Mungu wako amabaye unamjua weweWewe kuna miungu mingi,,, ndio maana kuna manabii wengi hapa dar wengine mtaa mmoja lkn wanapingana mafundisho
Huwezi kuzuia watu wasijadili na kudadisi kisa uovu unafunuliwaNdo maana nkakuambia chukua kitabu chako cha iman yako Soma kwa iman ingia chumban kwako Muombe Mungu wako amabaye unamjua wewe
Nenda Lutherani Makao Makuu au Luther House Dar es salaam UtampataAsante sana kiongozi.
Kuna ndugu yangu anahitaji maombi, je anapatikana wapi?
Mkuu usibishane na mtuHuwezi kuzuia watu wasijadili na kudadisi kisa uovu unafunuliwa
Mkiambiwa mnakimbilia ohoo ni MASIHI WA BWANA asiguswe
Shubamit
Hahahaaa hizo hata manabii waliojaa hapa dar wanafanya kama mwakasege tena zaidi ,Mafarisayo na Masadukayo mnashtuka leo kuhusu Mwakasege,mumshukuru kaleta uamsho,anahubiri wokovu,anahubiri roho mtakatifu,anapinga pombe na uasherati wakati nyie mlibariki ndoa,kajambeni tena mrudi hapa
Hakuna anayejua uovu wa mtu hapa duniani zaidi ya Mungu.Huwezi kuzuia watu wasijadili na kudadisi kisa uovu unafunuliwa
Mkiambiwa mnakimbilia ohoo ni MASIHI WA BWANA asiguswe
Shubamit
Ukiona sku zote mwanadamu anafananisha wahubiri sjui huyu mzuri au huyu mbaya ujue anamapungufu Sana kwenye akili yake watu wanakaaga kimya wanafuata imani yakeHakuna anayejua uovu wa mtu hapa duniani zaidi ya Mungu.
Wewe kweli kiazi , yaani kwa hoja yako hiyo ,unajifungia mlango wakubaini unavyodanganywa,Hakuna anayejua uovu wa mtu hapa duniani zaidi ya Mungu.
Tumeambiwa tuzipime hizo roho,Siku hizi Roma wana michango kuliko kanisa lolote,na usipo changa wanakwambia ukifa hawakuziki wala kukuombea maana wana amini ukiombea maiti inakwenda MbinguniHahahaaa hizo hata manabii waliojaa hapa dar wanafanya kama mwakasege tena zaidi ,
Ila LENGO lao ni kuwapigeni hela,
Kumbe unajawa hasira na chuki dhidi ya mwakasege kwa sababu haamini kile unacho kiamini. Pole yako maana wafuasi ambao wao huhudhuria semina zake tu hayo makanisa yako nchi nzima mmeshindwa kuwashawishi kwa idadi hiyo. Ni ningi mnao amini katika torati lkn mnabagua sheria za torati za kuamini. Mnachagua sheria za kuamini kwa sababu nyingine hamuwez kuzitekeleza. Karibu kwa Mwl Christopher Mwakasege akufundishe nguvu ya roho mtakatifu na kukufungua kwenye hvyo vifungo vya toratiBasi nifatilie ktk nyuz zangu utaelewa,ila hapa nimejikita kuhusu huyu mwakasege,
Huyu mwakasege,kakobe, na manabii wote hapa tz ni wezi ,sipepes maneno
Kuibiwa tuibiwe sisi wewe unawashwa niniWewe kweli kiazi , yaani kwa hoja yako hiyo ,unajifungia mlango wakubaini unavyodanganywa,
Mwakasege ,mzee wa upako, gwajima, mwingira,lwakatare, na manabii na mitume waliojazana dar, iringa,mbeya,arusha na mwanza
Wote ni WAJASIRIAMALI, na mtaibiwa sana mpaka akili ziwakae sawa,
Richard Mwakasege ni MlutheriNgongo,
nimependa comment zako na jinsi ulivyojaribu kumwelezea Christopher Mwakasege. Kwa kweli ni mwalimu na siyo mchungaji hana kanisa na ameweka wazi kuwa yeye ni mwalimu na siyo mchungaji hivyo hahitaji kanisa. Mungu aendelee kumbariki...
Ndo maana nkakuambia unaakili ndogo Sana kwa hyo wewe ulitaka mtumishi awe masikini ndo uamini ni mtumishi wa Mungu?Wewe kweli kiazi , yaani kwa hoja yako hiyo ,unajifungia mlango wakubaini unavyodanganywa,
Mwakasege ,mzee wa upako, gwajima, mwingira,lwakatare, na manabii na mitume waliojazana dar, iringa,mbeya,arusha na mwanza
Wote ni WAJASIRIAMALI, na mtaibiwa sana mpaka akili ziwakae sawa,
Na pia mm hakuna mtu anweza nidanganya maana mm simfuati mtu namfuata Mungu tuNdo maana nkakuambia unaakili ndogo Sana kwa hyo wewe ulitaka mtumishi awe masikini ndo uamini ni mtumishi wa Mungu?
Hahaaaa ngoja nicheke kwanzaKumbe unajawa hasira na chuki dhidi ya mwakasege kwa sababu haamini kile unacho kiamini. Pole yako maana wafuasi ambao wao huhudhuria semina zake tu hayo makanisa yako nchi nzima mmeshindwa kuwashawishi kwa idadi hiyo. Ni ningi mnao amini katika torati lkn mnabagua sheria za torati za kuamini. Mnachagua sheria za kuamini kwa sababu nyingine hamuwez kuzitekeleza. Karibu kwa Mwl Christopher Mwakasege akufundishe nguvu ya roho mtakatifu na kukufungua kwenye hvyo vifungo vya torati