Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
Uliza maswal yenye akili, mimi simfat Egw, Hata yeye alilikataa hilo, hakuna sehemu kasema tumfate, hata Musa,eliya siwafati ila naamini ujumbe waliopewa ,na unaupima kwa kutumia BIBLIAKwani wewe unaye mfuata Ellen G. White ni Mungu ?
Mbona vitabu vyake mnavisoma na kuvigawa kuliko Biblia ?
Andiko lako halina mantiki, sentensi ya ujumla, "wote" "sote" haina mashiko kisarufi.Hata manabii waliojaa dar,mbeya wote ni wanyenyekevu , na hawajitapi
Ila twajua ni wajasiriamali
Mlete hapa Mtumishi wako unayemwona yupo sahihi tumlinganishe na Mwalimu Mwakasege.Uliza maswal yenye akili, mimi simfat Egw, Hata yeye alilikataa hilo, hakuna sehemu kasema tumfate, hata Musa,eliya siwafati ila naamini ujumbe waliopewa ,na unaupima kwa kutumia BIBLIA
HUYU MWAKASEGE tunampima kwa biblia anapwaya,
Mimi sina shida na wachungaji ndio maana unaona sijawataja, tena huwa najadiliana nao sana, maana mchungaji huwa kwanza ni tofaut na hawa waliojianzishia hizi logde ili wapige helaAndiko lako halina mantiki, sentensi ya ujumla, "wote" "sote" haina mashiko kisarufi.
Inamaana hata wachungaji wa Kisabato wanaoishi Mbeya na Daresalaam ni wajasiliamali tu nao ?
Sema badhi yao.
Tatizo lako unahoji vibaya,Ila wewe jamaa unanifurahisha ujue, hivi kuhoji uhalali wa hawa watu wanaofanya mambo kwa kivuli cha watumish wa Mungu ,ni kukwazwa?
Sijahoji ukamilifu wake maana hata manabii wa kale kina musa,eliya hawakuwa wakamilifu ila huduma zao zilikuwa za kweli ,
Huyu mwakasege nimehoji uhalali wa huduma yake, je anafanya kwa kutumwa na kuwasaidia watu wamuone YESU au anafanya kwa maslahi yake?
Maana mimi nahoji ,sio mwakasege tu, hata kanisan kwangu nahoji na nishakosana sana na wachungaji,
Ukisema nimlete aliye sahihi nakuletea Nabii Isaya huyu alitumwa na MUNGU haya twende kaziMlete hapa Mtumishi wako unayemwona yupo sahihi tumlinganishe na Mwalimu Mwakasege.
Unapoyaja kitu dhaifu tuoneshe kilicho sahihi.
Mada inamjadili Mwalimu Mwakasege wewe Mzee wa Upako unamtoa wapi ?Mimi sina shida na wachungaji ndio maana unaona sijawataja, tena huwa najadiliana nao sana, maana mchungaji huwa kwanza ni tofaut na hawa waliojianzishia hizi logde ili wapige hela
Mfano mzee wa upako yule sio mchungaji, ni mjanja mjanja tu
Tuelewane hapo
Hebu tulia tujadili taratibu tuliza mihemkoTatizo lako unahoji vibaya,
Unahoji kwa kukosoa bila kusema tatizo lake.
Sema Mwakasege anakosea hapa na pale.
Hajaji yako ni ya akili ndogo.
Kuwa muelewa sitoki nje ya mada, hao nawataja kama mifano tu,nimekwambia tuliza jazbaMada inamjadili Mwalimu Mwakasege wewe Mzee wa Upako unamtoa wapi ?
Wewe sio mhojaji ni mpotoshaji mada.
Anzisha mada ya Mzee wa upako au huyo mwingine unaye mtaja, unaonekana una nia mbaya.
Mkuu ww umemkuta wapi akila nguruwe? Tupe na evidence kabisaUkisema nimlete aliye sahihi nakuletea Nabii Isaya huyu alitumwa na MUNGU haya twende kazi
Nabii isaya Alikuwa hali Nguruwe , na akasema Siku ya Mwisho Mungu atakuja KUTOA KIPIGO KWA WALA NGURUWE
ISAYA 66
15 Maana Bwana atakuja na moto, na magari yake ya vita kama upepo wa kisulisuli; ili atoe malipo ya ghadhabu yake kwa moto uwakao, na maonyo yake kwa miali ya moto.
16 Kwa maana Bwana atateta na wote wenye mwili, kwa moto na kwa upanga wake; nao watakaouawa na Bwana watakuwa wengi.
17 Watu wale wajitakasao, na kujisafisha katika bustani, nyuma yake aliye katikati; wakila nyama ya nguruwe, na machukizo, na panya; watakoma pamoja, asema Bwana.
LAKINI HUYU MWAKASEGE NI MLA NGURYWE MZURI SANA, JE ANAHUBIRI INJILI YA MUNGU GANI ?
MAANA MUNGU MWENYEWE AMESEMA OLE OLE KWA WALA KITIMOTO...
TENA AMESEMA .....NI SIKU YA KIYAMA...
Sisi tunamjadili Mwalimu Mwakasege.Kuwa muelewa sitoki nje ya mada, hao nawataja kama mifano tu,nimekwambia tuliza jazba
Mimi nipo hapa tujadiliane
Ohoo kwahiyo unataka kusema hali?Mkuu ww umemkuta wapi akila nguruwe? Tupe na evidence kabisa
Namtolea mfano na hao maana hana tofauti, kama kunena zile lugha zaSisi tunamjadili Mwalimu Mwakasege.
Hao wengine ni wako wewe.
Mwalimu Mwakasege hatolewi mfano na mtu yeyote mwingine, Mwakasege ni Mwakasege.
Sawa endelea kutoa mchango wako unavyojisikia.Namtolea mfano na hao maana hana tofauti, kama kunena zile lugha za
shagarabagalasomenenekalumekenge
Hata manabii waliojaa dar ,na mzee wa upako wanazinena,
Naweza kukwambia toa tofauti zao usipate hata 1
Kwahiyo usinizuie kutoa mfano
Sio chuki ni ukweli mchungu mkuuHizi chuki zenu zinawasaidia nini?
Nimekuuliza swali umeongea maneno mengine, hilo unalosema kkt inaruhusu kula wanyama ambao hawajapasuliwa kwato umelitoa wapi. Acha kubwabwaja maneno.. Ongea kwa evidence. Nipe evidence ya Mwakasege kula ngurue na unipe evidence ya kkt kuhubiria watu kula wanyama ambao hawajapasuliwa kwato.. Narudia tena, usibwabwaje maneno, ongea kwa fact ndio ntaweza kuongea na wwOhoo kwahiyo unataka kusema hali?
Huyu ni muumini wa KKKT mbez, na kkkt inaruhusu kula nguruwe, panya,mbwa ,kenge, na haramu wote,
Sasa niambie yeye hali?
Unataka fact gani wewe inaonesha ni mfata mkumbo,Nimekuuliza swali umeongea maneno mengine, hilo unalosema kkt inaruhusu kula wanyama ambao hawajapasuliwa kwato umelitoa wapi. Acha kubwabwaja maneno.. Ongea kwa evidence. Nipe evidence ya Mwakasege kula ngurue na unipe evidence ya kkt kuhubiria watu kula wanyama ambao hawajapasuliwa kwato.. Narudia tena, usibwabwaje maneno, ongea kwa fact ndio ntaweza kuongea na ww
HahahaaaaaSio chuki ni ukweli mchungu mkuu
Mbona umechekaHahahaaaaa
Hapana mkuu tujadiliane tu, ujue haya mambo ni kuwekana sawa,Sawa endelea kutoa mchango wako unavyojisikia.