Eric Cartman
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 11,966
- 11,218
Ujajibu swali umedai 71 (1e) literally it’s straight forward to understand.Unajua maana ya prooceding au umevamia chaka? Unajua maana ya mtu kupoteza sifa za kuwa mbunge? Alafu ndio unasumbua watu kuwa umesoma!
Nimekuuliza iwapo ni straight kama unavyodai ‘kuacha kuwa mwanachama’ does it equate ‘kufukuzwa uanachama’?
Ngoja nikusaidie katiba ilitakiwa kusema kuacha uanachama either kwa kujitoa mwenyewe au kufukuzwa kunakomesha nafasi ya ubunge.
If it were that huna nguvu ya kutumia section 83 ya katiba kwenda mahakamani kutaka tafsiri kama bado unabakia mmbunge baada ya kufukuzwa uanachama kama ilivyotokea kwa wabunge wa CUF maana jambo lipo wazi.
Hii press conference ya hakina Halima Mdee kujiita wanachama wa hiari sio bure watch this space.
Halafu kwanini kila mkini quote lazima mdai najifanya nimesoma au sina akili kwani hizo kauli zina ulazima jibu hoja kwa hoja.