KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Eeenh Heee!Sina muda wa kujibishana na fala kama wewe.
This must have stung you than I had anticipated.
Umekosa uteuzi; mbona mapema mno kuanza kurusha matope!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeenh Heee!Sina muda wa kujibishana na fala kama wewe.
Mjinga na mpuuzi akili na mawazo huwa mafupi kama kimba.Eeenh Heee!
This must have stung you than I had anticipated.
Umekosa uteuzi; mbona mapema mno kuanza kurusha matope!
Basi subiri uone... kwani taarifa kwamba hao viti maalumu 19 wameteuliwa na chama chao (Chadema) Spika alipewa na nani? Spika na genge lake wafanye uhuni kuwateua na kuwaapisha kivyao ila taarifa kwamba uanachama wao umetenguliwa wapewe na chama ambacho wamekihujumu? Kabisa huoni upumbavu hapo?
Hawajasema kama zimekwendaWe unajuaje hazikwenda? Kwa hiyo Mnyika ni kilaza hajui utaratibu?
Bado upo. Si uliaga?Mjinga na mpuuzi akili na mawazo huwa mafupi kama kimba.
Kuaga nini we fala? Wewe mpuuzi mmoja achana na wanaume, unatafuta bwana asubuhi asubuhi?Bado upo. Si uliaga?
Ni rahisi sana kujua "Mjinga na Mpuuzi..." Hebu rejea michango yako hapa JF. Usitumie maneno yanayokuhusu wewe kwa wengine wasiohusika.
Alipoenda kutibiwa India akakaa sana huko nina wasiwasi na whahindi walichofanya, kuna fyuzi ziling'olewa kwa huyu baba. Yaani hana hata aibu. Lakini haya mambo yana mwisho
Mwisho wa Chadema ni kuitaarifu ofisi ya Spika watu fulani sio wabunge tena, Spika ndie mwenye jukumu la kuwavua Ubunge.Ni hivi mimi nina mengi ya kusema kutokana na katiba hiyo hiyo ubunge ni ajira na katiba ina mambo ya ajira ambayo yanaweza irudia maamuzi ya CDM kuwa ni unconsitutional.
Cdm haijamfukuza mtu ubunge.
Ajira yao wamewaachia ,na wala cdm haijasema inataka wafukuzwe bungeni.
Bado unahasira kwa ukweli uliopewa?Kuaga nini we fala? Wewe mpuuzi mmoja achana na wanaume, unatafuta bwana asubuhi asubuhi?
Ok, sasa unataka nini?Bado unahasira kwa ukweli uliopewa?
Najua unaumia sana ndani kwa ndani. Ukitulia maumivu yatapungua.
Basi tulia hivyo hivyo.Ok, sasa unataka nini?
Haiwatambui Covid 19, Ila inamtambua mbunge mmoja wa kuchaguliwa na madiwani wake.😂😂Chadema haina shida na ubunge wa hao covid 19...ila hawatambuliki kama wabunge wa CDM...$900m za dezo hakuna kwa miaka mitano
Huyo mbunge amelazimishwa na wapiga kura wake kwenda bungeni ndiyo maana cdm wamekaa kimya.Haiwatambui Covid 19, Ila inamtambua mbunge mmoja wa kuchaguliwa na madiwani wake.[emoji23][emoji23]
Unamueleza nani huu upuuzi wako.Basi tulia hivyo hivyo.
Inawezekana akili zilizokuruka tokea ulipotekwa zikawa zinakurudia taratibu.
Tutaendelea kukuweka kwenye uangalizi kama kweli umeanza kujitambua.
Mkuu, fahamu Tanzania ni nchi yetu, tusiache hivi vitofauti vidogodogo kama vikabila kutuharibia nchi yetu hii nzuri.
Mshikamano wetu, umoja wetu ndio jambo kubwa zaidi ya hawa wanasiasa wanaotugawa kwa faida zao. Wanapokosea, tuwaseme, tusiwapambe kwa vile tu ni wa kabila letu au dini yetu.
Hii sio mara yangu ya kwanza kujibishana nawe, kumbuka hilo.
Unajua fika cdm haitambui hata huo uteuzi wa akina halima, haitambui pia ushindi wa ndugai.
Kumwandikia barua ndugai kuhusu akina halima ili kutengua ubunge upi.
Itoshe kuwa wamechukua hatua ya kuwafukuza chamani na kwamba hivi sasa wako huru kujiunga na chama chochote.
Nadhani hizo ndio kumbukumbu muhimu za kutunzwa.
Kama spika hajui au hana taarifa kama wamefukuzwa mbona ametoa maneno ya hasira kuwa Mnyika au Mbowe hawana ubavu wa kufukuza mtu?
Kama sio rasmi kwa nini Spika amejibu mapigo na kujifanya yupo juu ya katiba?Taarifa za kufukuza lazima nazo ziwe rasmi, kabla ya hapo hajafukuzwa mtu!
Ni sawa, mwanasiasa si wa kumuamini kwa kiasi kikubwa kwani kuna wanasiasa ambao nilipata kuwaamini hapo zamani lani mwishoe wakanionyesha kuwa wao ni wanasiasa kama wanasiasa wengine.Sawa, kama huo ndio msimamo wa chama. Lakini kumbuka wanasiasa ni vigeugeu. Usiwaamini sana! Ni ushauri tu
Ndugu mahakamani kwenye kutafsiri sheria (kesi yoyote ile) mwongozo mkuu wa jaji kwenye kusikiliza ni written law kwanza inasemaje, sio precedent.Mahakama ilishaamua issue kama hii mwenyewe umekiri kule juu, nashangaa unakuja na maneno mengi humalizi, kusoma kwingi sheria na vitabu vyake sio defence myfriend, unaweza soma vitabu ishirini ukishindwa kutafsiri kifungu kimoja tu umeliwa, hiyo ndio sheria.
Usinichanganye kundi moja na wewe kwenye hili, kama hujui ni wewe sio mimi.
Suala la mwanasheria kuchagua meaning hilo ni kawaida, lakini mwishowe judge ndie huamua, na kwenye hii issue unayoilazimisha iwe unavyotaka wewe ilishaamuliwa yenye kufanana na hii, ndio maana ya precedent, hapa ndio maana nakuona mbishi tu.
Take your time jifunze zaidi, hasa kwenye KUTAFSIRI, usiishie tu kwenye kusoma vitabu vingi, sheria sio hadithi.
Halafu sijui nani alikwambia huku JF hakuna hao lawyers "wabobevu" unaowataka, jifunze kufikiri nje ya box.
Have a gud day too.