Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,443
- 4,006
Haimruhusu kugombea zaidi ya mara moja kwa miaka mitano tangu alipochukua kijiti kutoka kwa rais halali aliyechaguliwa kwa kura.Hivi imekaaje kwa utaratibu wa Katiba yetu?
Maana:
Pierre Nkurunziza alikaimu miaka mitano ya mwenzie akaja kukaa kumi yake ikawa 15.
Edgar Lungu alikaimu miaka mitatu akakaa yake mitano na akagombea mitano mingine akashindwa.
Je, kwetu Tanzania SSH kwa kuwa amekaimu mitano ya JPM, sasa anaweza kugombania mitano ya kwake ya kwanza 2025 na pia mitano yakwake ya pili 2030?
Imekaaje wajuzi wa haya mambo kwa utaratibu wa kikatiba ulivyo.
Hakuna sehemu katika katiba ambapo unaweza kutoa "reference" ili kuonyesha usahihi wa hoja yako ambayo ni nzuri au ni mawazo yako mazuri tu.Haimruhusu kugombea zaidi ya mara moja kwa miaka mitano tangu alipochukua kijiti kutoka kwa rais halali aliyechaguliwa kwa kura.
Ni kweli na ni logical ulichokisema. Awamu ya kwanza ya SSH ni miaka 4 (na nusu). Awamu yake ya pili itakuwa miaka 5 yaani 2025 - 2025.Mkuu Thinker96, kwanza nikupe pole maana kiukweli kabisa, elimu ya katiba bado inahitajika sana kwa Watanzania walio wengi, maana Kiukweli wengi humu ni viazi mpaka basi!.
1. Rais Samia hakaimu urais wa JPM, urais wa JPM ilikoma ile March 17!. Sasa Samia ndiye rais wa JMT na sio kaimu.
4. Hii miaka 4 ya JPM, Samia
anayoimalizia, sio kumshikia JPM, bali ndio term yake ya kwanza. Term yake ya pili ya Samia ni 2025-2030!.
Kiukweli kadri siku zinavyokwenda, ndivyo viazi humu vinazidi kuongezeka!.
Pole!.
P
Mkuu,Ni kweli na ni logical ulichokisema. Awamu ya kwanza ya SSH ni miaka 4 (na nusu). Awamu yake ya pili itakuwa miaka 5 yaani 2025 - 2025.
Ni bahati nzuri (? mbaya) kwamba awamu yake ya kwanza ni miaka 4 na ushee aliyobakiza mtangulizi wake. Sasa kwa mfano mtangulizi wake angekuwa kabakiza miezi 6 au mwaka mmoja ina maana bado awamu yake ya kwanza ingalikuwa miezi 6 au mwaka mmoja tu? Nadhani utata uko hapo. Katiba inasemaje hapo? Ni sawa kwamba awamu ya kwanza inaweza kuwa hata ya mwezi mmoja tu?
Tena viazi kweri kweri!Mkuu Thinker96, kwanza nikupe pole maana kiukweli kabisa, elimu ya katiba bado inahitajika sana kwa Watanzania walio wengi, maana Kiukweli wengi humu ni viazi mpaka basi!.
1. Rais Samia hakaimu urais wa JPM, urais wa JPM ilikoma ile March 17!. Sasa Samia ndiye rais wa JMT na sio kaimu.
4. Hii miaka 4 ya JPM, Samia
anayoimalizia, sio kumshikia JPM, bali ndio term yake ya kwanza. Term yake ya pili ya Samia ni 2025-2030!.
Kiukweli kadri siku zinavyokwenda, ndivyo viazi humu vinazidi kuongezeka!.
Pole!.
P
Mkuu Dr Akili, kiukweli kabisa, kwenye hili, hakuna utata wowote. Ndio maana kule mwanzo nilisema elimu ya katiba inahitajika sana kwa Watanzania wengi. Katiba imeandikwa kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili ila watu ni wavivu kusoma, hawasomi katiba na very unfortunately katika mitaala yetu hakuna somo la katiba!. Tumewaachia wanasheria kitu ambacho sio right, sio fair. Kila mtu anapaswa kusoma katiba na kuijua katiba.Nadhani utata uko hapo. Katiba inasemaje hapo? Ni sawa kwamba awamu ya kwanza inaweza kuwa hata ya mwezi mmoja tu?
Mkuu Kodonge Kitamu, sweettablet , ni viazi kweli ila sio viazi vitamu kama kidonge kitamu, ni viazi mbatata!.Tena viazi kweri kweri!
Ahahahahahahaha!Mkuu Kodonge Kitamu, sweettablet , ni viazi kweli ila sio viazi vitamu kama kidonge kitamu, ni viazi mbatata!.
P
Kwa sasa katiba iko eda.Hivi imekaaje kwa utaratibu wa Katiba yetu?
Maana:
Pierre Nkurunziza alikaimu miaka mitano ya mwenzie akaja kukaa kumi yake ikawa 15.
Edgar Lungu alikaimu miaka mitatu akakaa yake mitano na akagombea mitano mingine akashindwa.
Je, kwetu Tanzania SSH kwa kuwa amekaimu mitano ya JPM, sasa anaweza kugombania mitano ya kwake ya kwanza 2025 na pia mitano yakwake ya pili 2030?
Imekaaje wajuzi wa haya mambo kwa utaratibu wa kikatiba ulivyo.
Kumbe katiba yetu ni nzuri sana. Hao wanaotaka tuifumue yote na kuweka ile ya Waryoba lazima kutakuwa na kitu kimepungua kwenye medulla oblongata zao.Mkuu Dr Akili, hakuna utata wowote. Mambo ya haki ya
kuchaguliwa tena yanaongozwa na ibara ya 9 kufungu cha 15 cha sheria namba 34 ya mwaka 1984 iliyofanyiwa mapitio mwaka 1994
na kuingizwa kwenye Ibara ya 40 ya Katiba, kifungu kidogo cha 4, imeelekeza vizuri na wazi kabisa bila utata wowote.
4) "Endapo Makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa
mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua
miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili,
lakini kama akishika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au
zaidi ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara moja tu".
Hii maana yake, kwa vile Samia anashika madaraka kwa kipindi cha zaidi ya miaka mutatu, hivyo hii inahesabiwa ndio awamu yake ya kwanza, bado anayo fursa ya awamu nyingine moja ya mwisho.
Endapo JPM angechomoka baada ya kutumikia urais kwa miaka 2 na nusu, hivyo Samia kushika kwa kipindi kisichozidi miaka 3. Then kipindi hicho Samia angehesabiwa kuimalizia ngwe ya JPM, hivyo Samia angekuwa na fursa za kugombea awamu zake zote mbili, kuanzia 2025-2035.
Hivyo hakuna awamu ya less than 3 years .
P
Akienda znz itawezekanaHivi imekaaje kwa utaratibu wa Katiba yetu?
Maana:
Pierre Nkurunziza alikaimu miaka mitano ya mwenzie akaja kukaa kumi yake ikawa 15.
Edgar Lungu alikaimu miaka mitatu akakaa yake mitano na akagombea mitano mingine akashindwa.
Je, kwetu Tanzania SSH kwa kuwa amekaimu mitano ya JPM, sasa anaweza kugombania mitano ya kwake ya kwanza 2025 na pia mitano yakwake ya pili 2030?
Imekaaje wajuzi wa haya mambo kwa utaratibu wa kikatiba ulivyo.
Alikaimu hakugombea kama mgombea uraisi alikuwa akimsindikiza raisi kamili yeye kama makamo.Mkuu Thinker96, kwanza nikupe pole maana kiukweli kabisa, elimu ya katiba bado inahitajika sana kwa Watanzania walio wengi, maana Kiukweli wengi humu ni viazi mpaka basi!.
1. Rais Samia hakaimu urais wa JPM, urais wa JPM ilikoma ile March 17!. Sasa Samia ndiye rais wa JMT na sio kaimu.
4. Hii miaka 4 ya JPM, Samia
anayoimalizia, sio kumshikia JPM, bali ndio term yake ya kwanza. Term yake ya pili ya Samia ni 2025-2030!.
Kiukweli kadri siku zinavyokwenda, ndivyo viazi humu vinazidi kuongezeka!.
Pole!.
P
Unajua maana ya neno Kaimu?! Acheni kupotosha jamii. Mbona wasomi mnakuwa na vichwa vizito hivi?!SSH amemkaimu nani?
Na huyo aliyekaimiwa yupo wapi, na anatarajia kurudi lini kwenye kiti chake?!
Anyway, SSH hajakaimu bali ni Rais Kamili kwa mujibu wa katiba yetu!!
Ni kweli kabisa Samia hakaimu Urais lakini ni kweli kabisa kuwa katiba haijaweka wazi kwa mtu anayeapishwa baada ya Rais aliyemtangulia kufa kabla ya muda wake kufa, je ndiyo muhula wake wa kwanza au anakamilisha muhula na baada ya hapo ataanza kuwania muhula wake wa kwanza?Mkuu Thinker96, kwanza nikupe pole maana kiukweli kabisa, elimu ya katiba bado inahitajika sana kwa Watanzania walio wengi, maana Kiukweli wengi humu ni viazi mpaka basi!.
1. Rais Samia hakaimu urais wa JPM, urais wa JPM ilikoma ile March 17!. Sasa Samia ndiye rais wa JMT na sio kaimu.
4. Hii miaka 4 ya JPM, Samia
anayoimalizia, sio kumshikia JPM, bali ndio term yake ya kwanza. Term yake ya pili ya Samia ni 2025-2030!.
Kiukweli kadri siku zinavyokwenda, ndivyo viazi humu vinazidi kuongezeka!.
Pole!.
P
Kwahiyo SSH ni Kaimu Rais, sio?! Unaweza kudhani unajua maana ya hiyo kaimu, kumbe hujui!!Unajua maana ya neno Kaimu?! Acheni kupotosha jamii. Mbona wasomi mnakuwa na vichwa vizito hivi?!
Nasikia Biden anafanya mipango ya kumpiga na ICMB.
Paskali...lugha uliyotumia haijawa ya staha...wewe ni Mutu mnene Sana!!Mkuu Thinker96, kwanza nikupe pole maana kiukweli kabisa, elimu ya katiba bado inahitajika sana kwa Watanzania walio wengi, maana Kiukweli wengi humu ni viazi mpaka basi!.