Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Na mbona Warusi wanamkubali? Anafanya madudu yepi???Hata kukaa siku 15 haimruhusu. Anataka akae miaka minne halafu aseme,"Ah,nilikuwa naonja tu.! Sasa nataka nianze kula."
Madudu,kama ya Putin. Putin alikuwa Waziri Mkuu,halafu akasema ule muda aliokua rais hauesabiki,anataka kuwa rais tena.
Matusi. Anawatukana Warusi na anaitukana dunia. Nasikia Biden anafanya mipango ya kumpiga na ICMB.