Je, katika ujana wako umewahi kuingia na Demu chumbani, ghafla mashine ikagoma kusimama. Ulifanyaje? Maada hii ni kwa wanaume tu

Je, katika ujana wako umewahi kuingia na Demu chumbani, ghafla mashine ikagoma kusimama. Ulifanyaje? Maada hii ni kwa wanaume tu

Kuna jamaa aliniganda kweli nimpe tamu,sumbua sana...mwez ikaenda.Siku nimpee sasa,maandaliz fresh...kwanza kabla hata ya maandalizi ili tumekumbatiana kitu kikawaka,nikajua yes,chakula si ndiyo hii...muda wa kuwekana kapiga pushup nne Mara kimya..afu ndo imeanza kukolea balaa[emoji15][emoji24]...angaika angaika wapi...akatoa kwa kuificha...hataki hata niione[emoji87]...saivi tunapishana kama hatujawahi kuonana ...sifa zote zimemkata
Kikubwa kakutindua
 
Kuna binti nilimpenda kweli juzi nimeenda kutoa posa miaka 19 . Nilifukuzia wee siku anakubali kuja kuliwa Ngoma ikagoma maana nilikuwa nimepania gemu mno.

Baada ya hapo tukawa tunapanga kukutana zaidi ya mara 5 mfululizo hali ni ile ile akanambia wewe unaumwa nenda hospital [emoji1787][emoji1787] Jamani jaman hakuna stress mbaya kama hiyo.

Mimi nikamwambia siendi maana siumwi kitu chochote Na kweli toka nianze kufanya mapenzi sijawahi kupatwa au kukutana na hali kama ile.

Mbaya zaidi alikuwa akiondika tu mboo inasimama mpaka misuli inaniuma .Nacho shukuru Huyo Binti hakukata tamaa siku tu ikaja kusimama nilimpiga shoo takatifu ile hali ikapotea hadi leo.
 
Imeshanitokea! Nilihangaika sana hata kushtuka tu haikushtuka.nikaja kukata mawasiliano nae coz wife alifumania sms zetu.baadae sana km miezi mi5 kupita nikakutana nae mtaa ambao sikutarajia kumkuta na story za hapa na pale akaniambia ukweli kuwa anasumbuliwa na majini na mtaa huo amaweka kambi kwa mganga anatolewa majini,sikutaka mahusiano naye ila miaka mi4 sasa nilipita mitaa yao hadi nimemuhurumia.
Ile pisi kali imekua kama kichaa,uzuri wote umepotea anakunywa pombe kali na kuvuta masigara amekua km teja,nilitamani hata kulia! Yaani yeye amekua wa kuniomba jero kweli, dah!!!
 
Automatically, msichana akiwa ananuka kijasho au mdomo au huko chini panatoa, mashine itasimama na itanywea na haitosimama tena na msichana lazima utaniita sio rijali na sitokwambia nn!? Sababu

Sasa uje! Msafi full kunukia yaani utakula nyingi na hauwezi kuamini yaani ntaenda hata goal mia, kiufupi siwezi kupiga msichana mchafu, yaani siwezi kabsa na mgonjwa wa kuumwa kwa harufu chafu.
 
Ni kawaida.huwa inatokea sana.tatizo ni kwamba wanaume wengi wakikutana na hiyo hali wanafadhaika kiasi ambacho anakosa kabisa utulivu wakurudisha hisia nakutuliza mwili ili hali irudi kawaida.Ukikutana na hali kama hiyo nenda kaoge maji baridi na kutuliza akili uku ukivuta pumzi unazibana nakuziachia.Hii hali inachanguwa na saikolojia zaidi.
 
Back
Top Bottom