Mwanamke hatoi talaka bali huomba talaka na msingi wa yote haya huanzia kwenyeSijajua kuhusu mambo ya dini kabila au jadi kuhusu wanandoa wawili (mke na mume)hua naona au kusikia kuwa endapo wanandoa upande wa mwanaume ndio anaetoa talaka endapo ataona au sikia kwa ushahidi kuwa labda mkewe kaenda tofauti na masharti ya ndoa yanavyosema ,je!mwanamke nae anaruhisiwa kutoa talaka kwa mumewe?na kama inaruhusiwa ni vigezo gani anatumia hadi kufanya hivyo.
Kunyimwa tundi ama kubaniwa kwa visingizio lukukiTalaka za kike zipo indirect.....sitaweza kuzisema.
Anaeolewa ndie anaepewa talakaSijajua kuhusu mambo ya dini kabila au jadi kuhusu wanandoa wawili (mke na mume)hua naona au kusikia kuwa endapo wanandoa upande wa mwanaume ndio anaetoa talaka endapo ataona au sikia kwa ushahidi kuwa labda mkewe kaenda tofauti na masharti ya ndoa yanavyosema ,je!mwanamke nae anaruhisiwa kutoa talaka kwa mumewe?na kama inaruhusiwa ni vigezo gani anatumia hadi kufanya hivyo.
Wanawake mnaowazaga mali kama wewe n changamoto mana mda woe mnamtegea mtego mume akosee ili ukadai talaka ili ugawiwe maliUkiwa vizuri mwanamke na ukiwa na ushahidi pasi na shaka nenda mahakamani kaombe kutoa talaka, mali zilipatikana ndani ya ndoa unapiga pasu,
Sijui ndo hivyo π€£π€£π€£
Hizo za dini sio halali.Kulingana na uzoefu na nimeshawahi kuona pia nadhani inategemea na dini zenu. Dini ya kikristo meanamke anaenda kuomba talaka mahakamani. Lakini dini ya kiislam mwanamke nmeona anaweza kuandika talaka na kumpatia mumewe tu iwe mbele ya mashahidi. Ila talaka ya kuandika mke Huwa inakua nyepesi kama hakuna Mali za kudai kama zipo Mali ni lazima swala liende mahakamani
Nimesema sisemi πππ
Mwanamke hatoi talaka bali huomba talaka na msingi wa yote haya huanzia kwenye
Kutongozwa
Kuchumbiwa
Kutolewa mahari
Kuolewa nk
Kama hayo yakifanywa na mwanamke basi ana haki pia ya kutoa talaka
Sent using Jamii Forums mobile app