Uchaguzi 2020 Je, kauli hizi za 'Tamaa ya Madaraka na kutomtuma mtu kugombea' alizotoa Rais Magufuli ni dongo kwa Makonda na Gambo?

πŸ”Š 🎹 πŸ’‰ 🎷🎷🎷
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Makonda kakurupuka!

Subirini hii ngoma bado mbichi.
 
Tena kakazia kwamba hajamtuma yeyote kwenda kugombea ubunge.
Hakuna jitu nafiki na liongo kama jiwe, kwa masikio yangu nikiwa natoka kigoma gari letu tulipigwa bin pale kakonko kusubiri jamaa amalize kuhutubia, nusu Saab aliitumia kumsimanga mbunge wa chadema na kuwananga raia kuwa walikosea kuchagua upinzani, alikuwa kaongozana na ndalichako na mipango na akawapigia kampeni 2020 wamchague mipango na ndalichako ndo atawaletea maendeleo, ilikuwa 2017 hiyo aseme sasa na hao kuwa hajawatuma
 
Wacha tungoje tuone. Nchi hii ina maajabu mengi. Let's not jump to conclusion. In the long run I am sure he knows what he is doing, hajakurupuka
Andengenye, Lugola, Nchambi, Lugumi, n.k. wote wanaendelea kuula. Makonda naye "is in the same pipeline".
 
Mkuu nani kakudanganya Makonda hapendwi?
Usifikiri washabiki wachache wanaomtukana Makonda humu mitandaoni na uswahili wako hivyo hapana. Tena Makonda angetia timu jimbo la Ukonga asubuhi tu angeshinda
 
Kauli ya Rais ni sahihi, ukizingatia kwamba kuna umuhimu wa kuwa na uwanja sawa wa ushindani ili kupata wagombea bora.
 
Mkuu nani kakudanganya Makonda hapendwi?
Usifikiri washabiki wachache wanaomtukana Makonda humu mitandaoni na uswahili wako hivyo hapana. Tena Makonda angetia timu jimbo la Ukonga asubuhi tu angeshinda
Sie waswahili n tabu sana yan unamaanisha kule ukonga kwa wakurya wengi au?
 
"Hakuna mtu yotote aliyetumwa na Mimi wala Makamu wa Rais, Wala Waziri Mkuu kugombea Ubunge. Kama ningekutuma si ningekuchagua mimi mwenyewe kwenye nafasi zangu 10", Rais Magufuli.

Magufuli kumteua Makonda ubunge kisha kumteua uwaziri would be too dumb. Hiyo nukuu si kwa ajili ya mtu anayeng’aa kwenye anga za Magufuli kama Makonda. Wako wengine pia wa aina hiyo wameshaingia kugombea majimbo ambao watu wanajiuliza β€œhuyu si angesubiri uteuzi tu?” I believe he’s gotten wiser and smart about toying about with his closest soft spots.
 
Daah noma sana.
 
Daah noma sana.
 
Usimwamini sana Magu

Kinyume chake huenda ndio ukweli ii msije kusema aliwaandaa ili aje awape uwaziri.

Maneno ya Magu yalikuwa mkwara tu kwa wale asiyewatuma kuchukua fomu na wananafasi nyingine serikalini. Kifupi, aliloliona Magu ni kuwa wakati wa uchaguzi ni wakati wa makundi upende usipende, hivyo alitaka kupunguza tension serikalini kwani kama mkuu wa mkoa na mkuu wa wilaya wakalitaka jimbo moja, utawala serikalini utakuwa mgumu. Mfano yaliyotokea Arusha.

Lakini hii haiwahusu akina Makonda walioenda kuomba ushauri kwake naye akawapa baraka zote na hata kuwasaidia huko mbeleni. Waoga hawatachukua fomu, risk takers watachukua fomu bila ridhaa ya mtemi, hawa wanaweza kukatwa mapema. Hili nakuhakikishia.

Kifupi safari hii wagombea wa majimbo yote kupitia chama tawala majina yao yapo tayari ofisini kwa mwenye kiti. Wengine ni wasindikizaji tu.
 
Acha wafu wazike wafu wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…