Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna jitu nafiki na liongo kama jiwe, kwa masikio yangu nikiwa natoka kigoma gari letu tulipigwa bin pale kakonko kusubiri jamaa amalize kuhutubia, nusu Saab aliitumia kumsimanga mbunge wa chadema na kuwananga raia kuwa walikosea kuchagua upinzani, alikuwa kaongozana na ndalichako na mipango na akawapigia kampeni 2020 wamchague mipango na ndalichako ndo atawaletea maendeleo, ilikuwa 2017 hiyo aseme sasa na hao kuwa hajawatumaTena kakazia kwamba hajamtuma yeyote kwenda kugombea ubunge.
Andengenye, Lugola, Nchambi, Lugumi, n.k. wote wanaendelea kuula. Makonda naye "is in the same pipeline".Wacha tungoje tuone. Nchi hii ina maajabu mengi. Let's not jump to conclusion. In the long run I am sure he knows what he is doing, hajakurupuka
Magufuli amwogope tako kubwa!? Unamjua jiwe unamsikia? Magufuli ni jeuri miaka 400.Magu anamwogopa mno Makonda, hizo kauli huwa anazitoa akiwa mbali, Bashite akiwa karibu Magu hathubutu kutamka maneno hayo!
Unachukulia poa hiyo wizara?Unamwamini Riais!???? Yani bashite anaandaliwa kua waziri tena wa ulinzi au ubunge amini na kwambia huyo ni Msukuma ujue
Mkuu nani kakudanganya Makonda hapendwi?Ukimsikiliza msemaji wa Rais anakwambia wazaramo wanausemi ambao unabamba sana mjini usemao Mwana kulitafuta Mwana kulipata pia Mama Samia naye anakwambia wateule wa Rais wajifunze kuridhika Ukija kwa JPM mwenyewe anawaambia mie sijatuma mtu pia mjifunze kuridhika hapo bado Sijamsikia boss wa ma RC na DC Yani Majaliwa ukirud kuyatafuta maneno ya Polepole kuhusu Kigamboni ndo kabisa utajua Makonda alikuwa analindwa tuu mana mabosi wake wanajua kuwa hapendwi na watu hvyo wamwachie madaraka ili apate kinga Sasa naleo tunaambiwa Mtoto akililia Wembe tumpe au tumnyime
Sie waswahili n tabu sana yan unamaanisha kule ukonga kwa wakurya wengi au?Mkuu nani kakudanganya Makonda hapendwi?
Usifikiri washabiki wachache wanaomtukana Makonda humu mitandaoni na uswahili wako hivyo hapana. Tena Makonda angetia timu jimbo la Ukonga asubuhi tu angeshinda
"Hakuna mtu yotote aliyetumwa na Mimi wala Makamu wa Rais, Wala Waziri Mkuu kugombea Ubunge. Kama ningekutuma si ningekuchagua mimi mwenyewe kwenye nafasi zangu 10", Rais Magufuli.
Daah noma sana.Hakuna jitu nafiki na liongo kama jiwe, kwa masikio yangu nikiwa natoka kigoma gari letu tulipigwa bin pale kakonko kusubiri jamaa amalize kuhutubia, nusu Saab aliitumia kumsimanga mbunge wa chadema na kuwananga raia kuwa walikosea kuchagua upinzani, alikuwa kaongozana na ndalichako na mipango na akawapigia kampeni 2020 wamchague mipango na ndalichako ndo atawaletea maendeleo, ilikuwa 2017 hiyo aseme sasa na hao kuwa hajawatuma
Daah noma sana.Hakuna jitu nafiki na liongo kama jiwe, kwa masikio yangu nikiwa natoka kigoma gari letu tulipigwa bin pale kakonko kusubiri jamaa amalize kuhutubia, nusu Saab aliitumia kumsimanga mbunge wa chadema na kuwananga raia kuwa walikosea kuchagua upinzani, alikuwa kaongozana na ndalichako na mipango na akawapigia kampeni 2020 wamchague mipango na ndalichako ndo atawaletea maendeleo, ilikuwa 2017 hiyo aseme sasa na hao kuwa hajawatuma
Usimwamini sana Magu
Kinyume chake huenda ndio ukweli ii msije kusema aliwaandaa ili aje awape uwaziri.
Kumbe bado hujamjua vzr.Hili namuamini Magu kwa asilimia zote. Kachoka sarakasi za Prince
Acha wafu wazike wafu waoRais Magufuli baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali Ikulu Dodoma amenena kwamba viongozi mbalimbali hawaridhiki kabisa na madaraka hasa waliozaliwa mwaka 82 (1982).
Pia soma> Uchaguzi 2020 - Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole...
Kauli hii imenifanya niangalie mwaka aliozaliwa Paul Makonda na kukuta amezaliwa mwaka 1982. Naamini hii haiwezi kuwa bahati mbaya ila Rais alimaanisha alichokisema.
Nanuia kusema kwamba Makonda mpaka sasa ana hali mbaya na huenda ukawa mwisho wake kisiasa.
Baadhi ya nukuu za Rais Magufuli...
Kwenye hizi kazi kuridhika ni kitu kikubwa. Yule kijana pale anaitwa Selemani ana PHD lakini mshahara ni laki 5. Aliridhika na mshahara wake. Ilipojitokeza fursa ndiyo tukamteua kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kongwa. Viongozi vijana imekuwa ngumu kuridhika hasa waliozaliwa miaka ya 1982.
Nilikuwa napewa taarifa na Makamu wa Rais, waliojitokeza kugombea kupitia CCM mpaka sasa ni zaidi ya 8,000 na Dar es Salaam ndiyo inaongoza ambapo hadi leo alfajiri wapo 829
Nawapongeza waliotia nia lakini niwahakikishie hakuna aliyetumwa na mimi, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mzee Mangula wala Katibu Mkuu, kama wapo wanaosema mimi nimewatuma ni waongo na hii meseji iwafikie Wana-CCM wote nyinyi wapimeni wagombea kulingana na mnavyoona wanafaa
Sijatuma mtu [kugombea ubunge]. Siwezi nikatuma mtu kupitia mgongo wa pembeni. Kama ningekuwa na uwezo wa kukutuma, kwanini nihangaike kukutuma, si ningesubiri tu kwenye viti vyangu 10 nikakuteua kama ningeshinda.
Mbunge wa kuteuliwa hawezi kuteuliwa kuwa waziri mkuu.Ina maana angeshindwa kumteua