olinkobole j
Senior Member
- Aug 24, 2019
- 121
- 65
Hawezi mtosa mtoto pendwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda System imetumia mbinu za medani kumtenganisha Rais na Makonda kama walivyofanya kwa Jakaya na Rostam
Wamemjaza Makonda akajaa kwa kuambiwa anapendwa sana Kigambon japo pia Wanasiasa ni wasanii kuliko kina Shilole, huenda hajamtuma ila kaibariki safari
Waziri wa ulinzi au speaker ili awashughulikie vizuri wapinzani. Ni jukumu letu kuilinda nchi yetu na kuwarudisha Wasukuma October wakachunge ng'ombe na sio kuchunga watu, hawawezi chunga watu kwa kanuni za kuchungia ng'ombe.Unamwamini Riais!???? Yani bashite anaandaliwa kua waziri tena wa ulinzi au ubunge amini na kwambia huyo ni Msukuma ujue
Kweli kabisaKauli za huyu mkuu kuzielewa ni kwenye matokeo ya kichofanyika
Hata mimi nawashangaa hawajui anaigiza?Usije ukakaa umwamini Magufuli! Usithubutu kufanya hivyo kabisa!