Uchaguzi 2020 Je, kauli hizi za 'Tamaa ya Madaraka na kutomtuma mtu kugombea' alizotoa Rais Magufuli ni dongo kwa Makonda na Gambo?

Uchaguzi 2020 Je, kauli hizi za 'Tamaa ya Madaraka na kutomtuma mtu kugombea' alizotoa Rais Magufuli ni dongo kwa Makonda na Gambo?

Porojo za meko hizo.
Yy ndio kamtuma tulia na makonda.
Tulieni ndio mtamini ndimi mbili za meko
 
He is either the next Home affairs Minister or a future PM!
 
Sio mara ya kwanza kwa kauli za aina hiyo kutolewa, tuusubiri muda.🚶🚶🚶
 
Wewe unakiamini kila kitokacho kinywani mwa yule baba?
 
Jiwe gizani kuna mtu katupiwa hapo

Wajumbe wa kigamboni aya mumeambiwa wapimeni kwa vigezo vyenu hajatumwa mtu hapo.
 
Akili ya kuambiwa changanya na za kwako,Makonda hawezi kutupwa jalalani. Magufuli kwa huyo mwana mpendwa umetuhadaa.Ubunge atapata na uwaziri atapata.
 
Huenda System imetumia mbinu za medani kumtenganisha Rais na Makonda kama walivyofanya kwa Jakaya na Rostam

Wamemjaza Makonda akajaa kwa kuambiwa anapendwa sana Kigambon japo pia Wanasiasa ni wasanii kuliko kina Shilole, huenda hajamtuma ila kaibariki safari

Watu wengi hawaelewi mifumo ya nchi hii inavyofanya kazi

Ila spot on again Rais Mkapa alisema Mwanasiasa akikwambia amekufa nenda kahakikishe tena(Kuna hadithi fulani alikua anaisimulia kuhusu wanasiasa waliopata ajali enzi zake nineisahau kidogo)

WANASIASA SIO WA KUWAAMINI MANENO YAO
 
Unamwamini Riais!???? Yani bashite anaandaliwa kua waziri tena wa ulinzi au ubunge amini na kwambia huyo ni Msukuma ujue
Waziri wa ulinzi au speaker ili awashughulikie vizuri wapinzani. Ni jukumu letu kuilinda nchi yetu na kuwarudisha Wasukuma October wakachunge ng'ombe na sio kuchunga watu, hawawezi chunga watu kwa kanuni za kuchungia ng'ombe.
 
Magufuli katu haaminiki! Makonda hawezi kuthubutu kuacha u RC bila ridhaa yako. Huku ni kujikosha, msimwamini kabisa huyu!
 
Kama msomi wa level ya PhD, hilo neno 'tamaa' analitafsiri (define) vipi? Yeye miaka yote akichukua fomu za kugombea alikuwa anasukumwa na nini? Je, yule anayejipigia kura wakati hana mshindani anasukumwa na nini? Demokrasia, nope!
 
Back
Top Bottom