Je, kesi aliyofungua Tundu Lissu nje ya nchi ndio sababu ya TIGO Tanzania kubadili jina?

This transformation is not limited to Tanzania. It aligns with Axian Telecom Group’s broader strategy to unify its subsidiaries across Africa under a single, robust brand to enhance its pan-African identity and strength.
 
Makampuni ya simu Tanzania yameshaiona Kama shamba la bibi

Wanabadili majina ili kukwepa Kodi

Tigo Sasa hii ni safari ya nne wanabadili jina
Kama tungekuwa na Bunge Makini wangetunga Sheria kwenye kubadilisha jina. Yaani ukibadili jina basi utalazimika kusubiri kwa muda wa mwaka mmoja ndipo leseni yako mpya iwe activated.
 
Ushahidi uko pale pale.. Acha yasini hata waite yakobo barkora zilele
 
Ndiyo sababu
 
unaenda dukani unasema naomba tigo muuzaji anakukunjia uso bora wabadili jina tu tigo ni jina baya sana!
 
unaenda dukani unasema naomba tigo muuzaji anakukunjia uso bora wabadili jina tu tigo ni jina baya sana!
Huko walikoenda ndo kabisaaa!! Waswahili walioshindwa kusema my number wakaishia kusema manamba sioni wakiweza kusema yas kila wakati kwa consistency nzuri.

Hao wauzaji wataombwa ass mpaka watatoa.
 
Ukweli ndio huo ni mbinu ya.kutoichafua Tigo brand kubwa . Unaona Adani alivyochafuka kashitakiwa marekani lakini mpaka Ruto kenya kawatimua.
 
hatahivyo ilikua siovizur kuiita tigo_zantel.
 
Zipo Taarifa za Kampuni ya Tigo Tanzania kubadili jina.

Si kazi nyepesi kubadili jina la Brand kubwa kama Tigo, bila shaka liko jambo kubwa sana lililopelekea uamuzi huu.
Wanajiitaje sasa na rangi watabadiri au?
 
Sheria ya makampuni inasema hivi (4) A change of name by a company under this section shall not affect any rights or obligations of the company or render defective any legal proceedings by or against the company, and any legal proceedings that might have been continued or commenced against it by its former name may be continued or commenced against it by its new name.
 
Naomba jina jipya la TIGO
 
Wewe na lucus msambwanda ni aibu Kwa watu wa nyanda za juu kusini Kwa kuendekeza uchawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…