Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama tungekuwa na Bunge Makini wangetunga Sheria kwenye kubadilisha jina. Yaani ukibadili jina basi utalazimika kusubiri kwa muda wa mwaka mmoja ndipo leseni yako mpya iwe activated.Makampuni ya simu Tanzania yameshaiona Kama shamba la bibi
Wanabadili majina ili kukwepa Kodi
Tigo Sasa hii ni safari ya nne wanabadili jina
Tigo- ass, yasEti hiyo mixx by ass ndo mbadala wa tigopesa!
Niliitelekeza voda yangu kwa deni la songesha, ni muda sasa nilipe deni niurudie mtandao wangu,
Ushahidi uko pale pale.. Acha yasini hata waite yakobo barkora zileleZipo Taarifa za Kampuni ya Tigo Tanzania kubadili jina.
Si kazi nyepesi kubadili jina la Brand kubwa kama Tigo, bila shaka liko jambo kubwa sana lililopelekea uamuzi huu.
Je ile kesi kabambe ambayo Lissu ameifungulia Kampuni hiyo Nje ya Nchi yaweza kuwa Sababu?
Ndiyo sababuZipo Taarifa za Kampuni ya Tigo Tanzania kubadili jina.
Si kazi nyepesi kubadili jina la Brand kubwa kama Tigo, bila shaka liko jambo kubwa sana lililopelekea uamuzi huu.
Je ile kesi kabambe ambayo Lissu ameifungulia Kampuni hiyo Nje ya Nchi yaweza kuwa Sababu?
Uzuri Mahakama za UK hazipigiwi simuUshahidi uko pale pale.. Acha yasini hata waite yakobo barkora zileleView attachment 3162266
Tena kibongo bongo lazima kuna link kubwa sana ya....Kila badiliko sehemu yoyote, lazima kuwepo na kisababishi
Lissu kiboko!Ndiyo sababu
Ni hatari snLissu kiboko!
Huko walikoenda ndo kabisaaa!! Waswahili walioshindwa kusema my number wakaishia kusema manamba sioni wakiweza kusema yas kila wakati kwa consistency nzuri.unaenda dukani unasema naomba tigo muuzaji anakukunjia uso bora wabadili jina tu tigo ni jina baya sana!
Wanajiitaje sasa na rangi watabadiri au?Zipo Taarifa za Kampuni ya Tigo Tanzania kubadili jina.
Si kazi nyepesi kubadili jina la Brand kubwa kama Tigo, bila shaka liko jambo kubwa sana lililopelekea uamuzi huu.
Kwa hio inaitwa nini sasa hivi?hatahivyo ilikua siovizur kuiita tigo_zantel.
Naomba jina jipya la TIGOSheria ya makampuni inasema hivi (4) A change of name by a company under this section shall not affect any rights or obligations of the company or render defective any legal proceedings by or against the company, and any legal proceedings that might have been continued or commenced against it by its former name may be continued or commenced against it by its new name.
Wewe na lucus msambwanda ni aibu Kwa watu wa nyanda za juu kusini Kwa kuendekeza uchawaZipo Taarifa za Kampuni ya Tigo Tanzania kubadili jina.
Si kazi nyepesi kubadili jina la Brand kubwa kama Tigo, bila shaka liko jambo kubwa sana lililopelekea uamuzi huu.
Je ile kesi kabambe ambayo Lissu ameifungulia Kampuni hiyo Nje ya Nchi yaweza kuwa Sababu?
Vodacom ndiyo kampuni pekee hawajawahi kufanya huo ujingaWakaitwa Buzz na baadae Tigo