Je kifo cha 'Jasusi mbobezi' kimeondoka na kichwa leo?

Ikitokea......na hii ni mipango ili hilo lisitokee huoni wanajazwa watu old school kuanzia kwa wahasira.........kete zinapangwa kitaalamu sio kwa sababu ya mihemko au mahaba fulani, wanajua wanaelekea vitani,,,usishangae hao wanaosema anaweza akaondoka wakaondoka wao, watu wamejipanga
 
Nina wasiwasi Team ya Bt huenda inakula vichwa vya Wagalatia.
 
Wewe ni mtu mwenye akili sana.
Natamani JF ingejaa watu wenye hizi fikra.

Swali kuu ni hilo; nini mantiki ya kuelezwa kujiuzuru kwake sasa na kuambiwa nani ni mrithi wake wa baadaye ikiwa kazi itaendelea mpaka Oktoba?
Tunatengeneza mitego ya hatari mnoo kama nchi.
 
Wewe umezaliwa mwaka gan kuwa babu? Physical fitness ya watu weng wenye hamsini hadi 60 inaharibika kutokana na maradhi makubwa, pia kufanya shughuli ngumu ngumu enz za ujana mkuu

2.hivi una habari kwamba Dr. Chimbi kazaliwa 1972 lakini anaonekana mzee kama Kikwete, njoo kwa olesendeka kazaliwa 1964 lakini amekata kama ana 70 years
Yaani unataka kuniambia kuwa Wassira awe fit na miaka yake 80 ila mla migebuka achoke wakati hana hata miaka 70?
[/QUOTE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…