Je kifo cha 'Jasusi mbobezi' kimeondoka na kichwa leo?


Ila Wassira mwenye miaka 79 anafaa kuendelea na kazi au vipi?
 
Yaani unataka kuniambia kuwa Wassira awe fit na miaka yake 80 ila mla migebuka achoke wakati hana hata miaka 70?
Hata angekuwa na miaka 30 kama afya hairuhusu anapumzika. Mshika mikasi yule mpaka anateuliwa kupanga sio huyu wa sasa, tangu aumwe akapigishwa simu za kulazimisha kusema yuko fit wakati amelazwa hajawahi rudia afya yake ya awali. Kwani umesahau alipopotelea kwa kina Samsung kutibiwa mpaka watu wakahoji?

Lini umesikia Wassira kapotea nchini yuko kwenye matibabu. Na isitoshe cheo cha Wassira ni cha kupita tu na hakina impact kikiwa dormant au mwenye nacho akiwa dhaifu kwa nguvu za mwili, Kinana kaondoka cheo kimebaki wazi miezi yote hii na hamna shida.

Kwanza Wassira hakai hata miaka miwili anateuliwa mwingine. Sasa cheo cha kukata utepe huwa hakibadiliki mpaka mitano tena. Mama Abdul mwenyewe wa safari kila mara sasa anamuachaje Bwana "uliponiachia nchi niliogopa"

Mbona kila kitu kipo wazi.
 
Huyo mpango hayuko fit kwa hekaheka , post Covid-19 complications ni nyingi kwa umri wake.

Amekuwa ni wa kufanya check up mara nyingi nje ya nchi hivyo kajipumzikia kwa sababu hiyo.
 

Hivi ikitokea hivo si ndo atasimama mwenyewe awamu inayokuja?
 
Kwa sasa hamna mambo ya wagalatia wala wa upande mwengine,,,kuna kete zimepangwa upya na kuna team inaenda kupata shida sidhani kambi ya Lowasa wataacha mambo yapite hivihivi tu
Kwani hiyo kambi bado ipo baada ya kufariki kiongozi wake?
Je hawakuunga juhudi upande wa Team mkojoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…