Je, Kikwete alikuwa dikteta? Kwanini umafia wake unafichwa?

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Kifo Cha Chacha wangwe

Kifo Cha utata Cha Amina chifupa

Kifo Cha utata Cha aliyekuwa waziri wa fedha kabla ya pesa za escrow kuchotwa Stanibic na mkombozi bank!

Kifo Cha Sengondo Mvungi wa bunge la katiba

Ulimboka aling'olewa kucha na kisa kutetea maslahi ya madactari.

Kupigwa Kofi kwa Jaji warioba na kijana wake makonda na hakuchukua hatua zozote?

Mauaji ya waandamanaji Soweto Arusha

Kupigwa risasi kwa Issa Shekh Ponda

Mauaji ya mamia ya watu Mtwara wakidai haki kwenye mradi wa gesi waliyouziwa wachina, huku wakipewa kesi za ugaidi na uchuchezi na Uasi.

NB: Lissu alipigwa risasi mwaka 2017 baada ya kufichua uovu wa JK bungeni kwamba yeye ndiye alisaini Sheria hatari ya madini mwaka 1994 baada ya ile hotuba mchana akafuatwa na wasiojulikana na kushambuliwa na kupewa kilema Cha maisha.

Je na huyu anaondolewaje kwenye list ya Mafia na madicteta waliowai kutawala nchi hii?
 
Kikwete naye mikono yake imejaa damu na ndiyo maana aliharibu mchakato wa kupata Katiba mpya, alijua Katiba mpya ingeiondoa CCM madarakani na utawala mpya lazima ungeruka naye
 
Kifo Cha Chacha wangwe

Kifo Cha utata Cha Amina chifupa

Kifo Cha utata Cha aliyekuwa waziri wa fedha kabla ya pesa za escrow kuchotwa Stanibic na mkombozi bank!

Kifo Cha Sengondo Mvungi wa bunge la katiba

Ulimboka aling'olewa kucha na kisa kutetea maslahi ya madactari.

Kupigwa Kofi kwa Jaji warioba na kijana wake makonda na hakuchukua hatua zozote?

Mauaji ya waandamanaji Soweto Arusha

Kupigwa risasi kwa Issa Shekh Ponda

Mauaji ya mamia ya watu Mtwara wakidai haki kwenye mradi wa gesi waliyouziwa wachina, huku wakipewa kesi za ugaidi na uchuchezi na Uasi.

NB: Lissu alipigwa risasi mwaka 2017 baada ya kufichua uovu wa JK bungeni kwamba yeye ndiye alisaini Sheria hatari ya madini mwaka 1994 baada ya ile hotuba mchana akafuatwa na wasiojulikana na kushambuliwa na kupewa kilema Cha maisha.

Je na huyu anaondolewaje kwenye list ya Mafia na madicteta waliowai kutawala nchi hii?
Unaelewa maana ya Dikteta? Hata kama amefanya hayo mambo haimaanishi yeye ni Dikteta,
 
Kumkucha
 
Kilichofanyika enzi za Kikwete ndicho kinachofanyika sasa, ambapo wahuni wameiteka/wameipiga kopi serikali na wanafanya watakavyo kwa kivuli cha kuilinda serikali.

Awamu ya 4 watanzania walikuwa bado wako uingozini, ndiyo maana kelele za kumlalamikia Kikwete zilikiwa chache
 
Chacha Wangwe ilikuwa kazi ya ndani ya chama.

Zitto akiwa naibu katibu mkuu, kwenye kilele cha ugomvi wake na Mbowe aliwahi kuandika humu JF, Chacha died, I won't.

With time, naamini uovu wa Mbowe utakuja kujulikana.

Hata Sirro aliwahi kusema wanao ushahidi usiotiliwa shaka wa ugaidi wa Mbowe, kilichofata ni Sirro kuondoshwa kwenye nafasi yake ili asivuruge project ya nusu mkate.
 
Imagine waziri alizuia pesa chafu ya escrow zisilipwe kutoka hazina akafa
Chacha Wangwe ilikuwa kazi ya ndani ya chama.

Zitto akiwa naibu katibu mkuu, kwenye kilele cha ugomvi wake na Mbowe aliwahi kuandika humu JF, Chacha died, I won't.

With time, naamini uovu wa Mbowe utakuja kujulikana.

Hata Sirro aliwahi kusema wanao ushahidi usiotiliwa shaka wa ugaidi wa Mbowe, kilichofata ni Sirro kuondoshwa kwenye nafasi yake ili asivuruge project ya nusu mkate.
Mbowe na Kikwete ni mtu na Kaka yake wote mafia
 
WaTz si hua tunasahau haraka? Kwani huoni online siku hizi waliowahi kusema John alikua hajali wameanza kushare videos zake na kumpongeza?

Make sure unajipambania
 
Kifo Cha Chacha wangwe

Kifo Cha utata Cha Amina chifupa

Kifo Cha utata Cha aliyekuwa waziri wa fedha kabla ya pesa za escrow kuchotwa Stanibic na mkombozi bank!

Kifo Cha Sengondo Mvungi wa bunge la katiba

Ulimboka aling'olewa kucha na kisa kutetea maslahi ya madactari.

Kupigwa Kofi kwa Jaji warioba na kijana wake makonda na hakuchukua hatua zozote?

Mauaji ya waandamanaji Soweto Arusha

Kupigwa risasi kwa Issa Shekh Ponda

Mauaji ya mamia ya watu Mtwara wakidai haki kwenye mradi wa gesi waliyouziwa wachina, huku wakipewa kesi za ugaidi na uchuchezi na Uasi.

NB: Lissu alipigwa risasi mwaka 2017 baada ya kufichua uovu wa JK bungeni kwamba yeye ndiye alisaini Sheria hatari ya madini mwaka 1994 baada ya ile hotuba mchana akafuatwa na wasiojulikana na kushambuliwa na kupewa kilema Cha maisha.

Je na huyu anaondolewaje kwenye list ya Mafia na madicteta waliowai kutawala nchi hii?
Mkuu mengine yote ulikuwa unatiririka vizuri ila kwenye NB hapo umemsingizia mzee wa watu na hivyo kuhamisha hoja yako yote!!!
 
Umafia huwezi kuujua vzr wewe bado me naweza kuona wewe na mtu fulani mna mgogoro nikatumia hiyo chance kumdhuru mmoja wenu ili kuchochea uadui wenu zaidi ili nipate sababu badae ya kuja kufanya Jambo fulani.

Ujasusi,Umafia ni Mpana Sana
 
Mkuu hizo ni fikra zako, shambulio la Lisu Jiwe alihusika kwa asilimia zaidi ya 100%.

Kwamba JK ndiye aliye kuwa anawatuma Tiss kumfuatilia Lissu kisha kufanya press conference kabla ya kushambuliwa??

Kwamba JK ndiye aliye waondoa maskari kwenye makazi ya viongozi kabla ya shambulio??

Kwamba JK ndiye aliye zuia ndege zote kumbeba Lissu kwenda Nairobi kwenye matibabu??

Kwamba JK ndiye aliyezuia haki stahiki za matibabu ya Lissu baada shambulio.

Kwamba JK ndiye aliyezuia wanaccm kwenda kumuona Lissu huko Nairobi??

Kwamba JK ndiye aliyewatimua viongozi wandamizi walio husika kutoa msaada kwa Lissu kuokoa maisha yake??

Kwamba JK ndiye aliyezuia wapenzi, raia na wanachama wa chadema waliotaka kutoa msaada kwa Lissu??

Kwamba JK ndiye aliyezuia mpaka leo uchunguzi wa kipolisi kufanyika ili kuwakamata wahusika???

Hii sio kweli, yaelekea Mkuu una chuki na JK kiasi kwamba hiyo chuki imekupofusha.

Mkuu kwa mifano uliyokuwa unaitoa kwenye hoja yako kuonesha uwezekano wa JK kuwa dikteta ilikuwa na mtiririko wenye ushawishi.

Kwa mtiririko ule ulikuwa sahihi maana ni matukio ya kweli ila umeharibu hoja yako kwa kuingiza uongo wa mchana!!
 
hahaha total islamization of tanzagiza iko final stages inakaribia kuvuka rubicon mnaanza kuamka leo? nani alimuattack baba Kitima na kwa nini? btw maraisi Christian wote hawapo …
 
Kifo Cha Chacha wangwe

Kifo Cha utata Cha Amina chifupa

Kifo Cha utata Cha aliyekuwa waziri wa fedha kabla ya pesa za escrow kuchotwa Stanibic na mkombozi bank!

Kifo Cha Sengondo Mvungi wa bunge la katiba

Ulimboka aling'olewa kucha na kisa kutetea maslahi ya madactari.

Kupigwa Kofi kwa Jaji warioba na kijana wake makonda na hakuchukua hatua zozote?

Mauaji ya waandamanaji Soweto Arusha

Kupigwa risasi kwa Issa Shekh Ponda

Mauaji ya mamia ya watu Mtwara wakidai haki kwenye mradi wa gesi waliyouziwa wachina, huku wakipewa kesi za ugaidi na uchuchezi na Uasi.

NB: Lissu alipigwa risasi mwaka 2017 baada ya kufichua uovu wa JK bungeni kwamba yeye ndiye alisaini Sheria hatari ya madini mwaka 1994 baada ya ile hotuba mchana akafuatwa na wasiojulikana na kushambuliwa na kupewa kilema Cha maisha.

Je na huyu anaondolewaje kwenye list ya Mafia na madicteta waliowai kutawala nchi hii?
Nakusapoti sana,naona akili imeanza kukurudia kuhusu mtu mbaya anayeitesa hii nchi,wala hakuwa Magufuli jama ambavyo siku zote ulikuwa unamtuhumu
 
Mkuu hizo ni fikra zako, shambulio la Lisu Jiwe alihusika kwa asilimia zaidi ya 100%.

Kwamba JK ndiye aliye kuwa anawatuma Tiss kumfuatilia Lissu kichaa kufanya press conference kabla ya kushambuliwa??

Kwamba JK ndiye aliye waondoa maskari kwenye makazi ya viongozi kabla ya shambulizi??

Kwamba JK aliye zuia ndege zote kumbeba Lissu kwenda Nairobi kwenye matibabu??

Kwamba JK ndiye aliyezuia haki stahiki za matibabu ya Lissu baada shambulio.

Kwamba JK ndiye aliyezuia wanaccm kwenda kumuona Lisu huko Nairobi??

Kwamba JK ndiye aliyewatimua viongozi mwandamizi walio husika kutoa msaada kwa Lissu kuokoa maisha yake??

Kwamba JK ndiye aliyezuia wapenzi, raia na wanachama wa chadema waliotaka kutoa msaada kwa Lissu??

Kwamba JK ndiye aliyezuia mpaka leo uchunguzi wa kipolisi kufanyika ili kuwakamata wahusika???

Hii sio kweli, yaelekea Mkuu una chuki na JK kiasi kwamba hiyo chuki imekupofusha.

Mkuu kwa mifano uliyokuwa unaitoa kwenye hoja yako kuonesha uwezekano wa JK kuwa dikteta ilikuwa na mtiririko wenye ushawishi.

Kwa mtiririko ule ulikuwa sahihi maana ni matukio ya kweli ila umeharibu hoja yako kwa kuingiza uongo wa mchana!!
Tena nitatumia mtu unayemwamini wewe

Ndiye atafanya tukio ili kuonyesha kukufurahisha wewe kumbe Mimi ndiye nimemtuma

Ndio maana nimekwambia wewe bado mchanga kwenye haya Mambo hakuna unachokijua!!
 
Back
Top Bottom