Kifo Cha Chacha wangwe
Kifo Cha utata Cha Amina chifupa
Kifo Cha utata Cha aliyekuwa waziri wa fedha kabla ya pesa za escrow kuchotwa Stanibic na mkombozi bank!
Kifo Cha Sengondo Mvungi wa bunge la katiba
Ulimboka aling'olewa kucha na kisa kutetea maslahi ya madactari.
Kupigwa Kofi kwa Jaji warioba na kijana wake makonda na hakuchukua hatua zozote?
Mauaji ya waandamanaji Soweto Arusha
Kupigwa risasi kwa Issa Shekh Ponda
Mauaji ya mamia ya watu Mtwara wakidai haki kwenye mradi wa gesi waliyouziwa wachina, huku wakipewa kesi za ugaidi na uchuchezi na Uasi.
NB: Lissu alipigwa risasi mwaka 2017 baada ya kufichua uovu wa JK bungeni kwamba yeye ndiye alisaini Sheria hatari ya madini mwaka 1994 baada ya ile hotuba mchana akafuatwa na wasiojulikana na kushambuliwa na kupewa kilema Cha maisha.
Je na huyu anaondolewaje kwenye list ya Mafia na madicteta waliowai kutawala nchi hii?