technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Kikwete naye mikono yake imejaa damu na ndiyo maana aliharibu mchakato wa kupata Katiba mpya, alijua Katiba mpya ingeiondoa CCM madarakani na utawala mpya lazima ungeruka nayeKifo Cha Chacha wangwe
Kifo Cha utata Cha Amina chifupa
Kifo Cha utata Cha aliyekuwa waziri wa fedha kabla ya pesa za escrow kuchotwa Stanibic na mkombozi bank!
Kifo Cha Sengondo Mvungi wa bunge la katiba
Ulimboka aling'olewa kucha na kisa kutetea maslahi ya madactari.
Kupigwa Kofi kwa Jaji warioba na kijana wake makonda na hakuchukua hatua zozote?
Mauaji ya waandamanaji Soweto Arusha
Kupigwa risasi kwa Issa Shekh Ponda
Mauaji ya mamia ya watu Mtwara wakidai haki kwenye mradi wa gesi waliyouziwa wachina, huku wakipewa kesi za ugaidi na uchuchezi na Uasi.
NB: Lissu alipigwa risasi mwaka 2017 baada ya kufichua uovu wa JK bungeni kwamba yeye ndiye alisaini Sheria hatari ya madini mwaka 1994 baada ya ile hotuba mchana akafuatwa na wasiojulikana na kushambuliwa na kupewa kilema Cha maisha.
Je na huyu anaondolewaje kwenye list ya Mafia na madicteta waliowai kutawala nchi hii?
Ndiye mmiliki wa RichmondKikwete naye mikono yake imejaa damu na ndiyo maana aliharibu mchakato wa kupata Katiba mpya, alijua Katiba mpya ingeiondoa CCM madarakani na utawala mpya lazima ungeruka naye
What a twist...!NB: Lissu alipigwa risasi mwaka 2017 baada ya kufichua uovu wa JK bungeni kwamba yeye ndiye alisaini Sheria hatari ya madini mwaka 1994 baada ya ile hotuba mchana akafuatwa na wasiojulikana na kushambuliwa na kupewa kilema Cha maisha.
Unaelewa maana ya Dikteta? Hata kama amefanya hayo mambo haimaanishi yeye ni Dikteta,Kifo Cha Chacha wangwe
Kifo Cha utata Cha Amina chifupa
Kifo Cha utata Cha aliyekuwa waziri wa fedha kabla ya pesa za escrow kuchotwa Stanibic na mkombozi bank!
Kifo Cha Sengondo Mvungi wa bunge la katiba
Ulimboka aling'olewa kucha na kisa kutetea maslahi ya madactari.
Kupigwa Kofi kwa Jaji warioba na kijana wake makonda na hakuchukua hatua zozote?
Mauaji ya waandamanaji Soweto Arusha
Kupigwa risasi kwa Issa Shekh Ponda
Mauaji ya mamia ya watu Mtwara wakidai haki kwenye mradi wa gesi waliyouziwa wachina, huku wakipewa kesi za ugaidi na uchuchezi na Uasi.
NB: Lissu alipigwa risasi mwaka 2017 baada ya kufichua uovu wa JK bungeni kwamba yeye ndiye alisaini Sheria hatari ya madini mwaka 1994 baada ya ile hotuba mchana akafuatwa na wasiojulikana na kushambuliwa na kupewa kilema Cha maisha.
Je na huyu anaondolewaje kwenye list ya Mafia na madicteta waliowai kutawala nchi hii?
KumkuchaKifo Cha Chacha wangwe

Imagine waziri alizuia pesa chafu ya escrow zisilipwe kutoka hazina akafaKilichofanyika enzi za Kikwete ndicho kinachofanyika sasa, ambapo wahuni wameiteka/wameipiga kopi serikali na wanafanya watakavyo kwa kivuli cha kuilinda serikali.
Awamu ya 4 watanzania walikuwa bado wako uingozini, ndiyo maana kelele za kumlalamikia Kikwete zilikiwa chache
Mbowe na Kikwete ni mtu na Kaka yake wote mafiaChacha Wangwe ilikuwa kazi ya ndani ya chama.
Zitto akiwa naibu katibu mkuu, kwenye kilele cha ugomvi wake na Mbowe aliwahi kuandika humu JF, Chacha died, I won't.
With time, naamini uovu wa Mbowe utakuja kujulikana.
Hata Sirro aliwahi kusema wanao ushahidi usiotiliwa shaka wa ugaidi wa Mbowe, kilichofata ni Sirro kuondoshwa kwenye nafasi yake ili asivuruge project ya nusu mkate.
Mkuu mengine yote ulikuwa unatiririka vizuri ila kwenye NB hapo umemsingizia mzee wa watu na hivyo kuhamisha hoja yako yote!!!Kifo Cha Chacha wangwe
Kifo Cha utata Cha Amina chifupa
Kifo Cha utata Cha aliyekuwa waziri wa fedha kabla ya pesa za escrow kuchotwa Stanibic na mkombozi bank!
Kifo Cha Sengondo Mvungi wa bunge la katiba
Ulimboka aling'olewa kucha na kisa kutetea maslahi ya madactari.
Kupigwa Kofi kwa Jaji warioba na kijana wake makonda na hakuchukua hatua zozote?
Mauaji ya waandamanaji Soweto Arusha
Kupigwa risasi kwa Issa Shekh Ponda
Mauaji ya mamia ya watu Mtwara wakidai haki kwenye mradi wa gesi waliyouziwa wachina, huku wakipewa kesi za ugaidi na uchuchezi na Uasi.
NB: Lissu alipigwa risasi mwaka 2017 baada ya kufichua uovu wa JK bungeni kwamba yeye ndiye alisaini Sheria hatari ya madini mwaka 1994 baada ya ile hotuba mchana akafuatwa na wasiojulikana na kushambuliwa na kupewa kilema Cha maisha.
Je na huyu anaondolewaje kwenye list ya Mafia na madicteta waliowai kutawala nchi hii?
Umafia huwezi kuujua vzr wewe bado me naweza kuona wewe na mtu fulani mna mgogoro nikatumia hiyo chance kumdhuru mmoja wenu ili kuchochea uadui wenu zaidi ili nipate sababu badae ya kuja kufanya Jambo fulani.Mkuu mengine yote ulikuwa unatiririka vizuri ila kwenye NB hapo umemsingizia mzee wa watu na hivyo kuhamisha hoja yako yote!!!
Mkuu hizo ni fikra zako, shambulio la Lisu Jiwe alihusika kwa asilimia zaidi ya 100%.Umafia huwezi kuujua vzr wewe bado me naweza kuona wewe na mtu fulani mna mgogoro nikatumia hiyo chance kumdhuru mmoja wenu ili kuchochea uadui wenu zaidi ili nipate sababu badae ya kuja kufanya Jambo fulani.
Ujasusi,Umafia ni Mpana Sana
Nakusapoti sana,naona akili imeanza kukurudia kuhusu mtu mbaya anayeitesa hii nchi,wala hakuwa Magufuli jama ambavyo siku zote ulikuwa unamtuhumuKifo Cha Chacha wangwe
Kifo Cha utata Cha Amina chifupa
Kifo Cha utata Cha aliyekuwa waziri wa fedha kabla ya pesa za escrow kuchotwa Stanibic na mkombozi bank!
Kifo Cha Sengondo Mvungi wa bunge la katiba
Ulimboka aling'olewa kucha na kisa kutetea maslahi ya madactari.
Kupigwa Kofi kwa Jaji warioba na kijana wake makonda na hakuchukua hatua zozote?
Mauaji ya waandamanaji Soweto Arusha
Kupigwa risasi kwa Issa Shekh Ponda
Mauaji ya mamia ya watu Mtwara wakidai haki kwenye mradi wa gesi waliyouziwa wachina, huku wakipewa kesi za ugaidi na uchuchezi na Uasi.
NB: Lissu alipigwa risasi mwaka 2017 baada ya kufichua uovu wa JK bungeni kwamba yeye ndiye alisaini Sheria hatari ya madini mwaka 1994 baada ya ile hotuba mchana akafuatwa na wasiojulikana na kushambuliwa na kupewa kilema Cha maisha.
Je na huyu anaondolewaje kwenye list ya Mafia na madicteta waliowai kutawala nchi hii?
Tena nitatumia mtu unayemwamini weweMkuu hizo ni fikra zako, shambulio la Lisu Jiwe alihusika kwa asilimia zaidi ya 100%.
Kwamba JK ndiye aliye kuwa anawatuma Tiss kumfuatilia Lissu kichaa kufanya press conference kabla ya kushambuliwa??
Kwamba JK ndiye aliye waondoa maskari kwenye makazi ya viongozi kabla ya shambulizi??
Kwamba JK aliye zuia ndege zote kumbeba Lissu kwenda Nairobi kwenye matibabu??
Kwamba JK ndiye aliyezuia haki stahiki za matibabu ya Lissu baada shambulio.
Kwamba JK ndiye aliyezuia wanaccm kwenda kumuona Lisu huko Nairobi??
Kwamba JK ndiye aliyewatimua viongozi mwandamizi walio husika kutoa msaada kwa Lissu kuokoa maisha yake??
Kwamba JK ndiye aliyezuia wapenzi, raia na wanachama wa chadema waliotaka kutoa msaada kwa Lissu??
Kwamba JK ndiye aliyezuia mpaka leo uchunguzi wa kipolisi kufanyika ili kuwakamata wahusika???
Hii sio kweli, yaelekea Mkuu una chuki na JK kiasi kwamba hiyo chuki imekupofusha.
Mkuu kwa mifano uliyokuwa unaitoa kwenye hoja yako kuonesha uwezekano wa JK kuwa dikteta ilikuwa na mtiririko wenye ushawishi.
Kwa mtiririko ule ulikuwa sahihi maana ni matukio ya kweli ila umeharibu hoja yako kwa kuingiza uongo wa mchana!!