B-2 STEALTH BOMBER
JF-Expert Member
- Sep 15, 2024
- 4,640
- 6,422
Ndege wafananao huruka pamoja. Huyu anajua kuigiza na ni mzuri wa kuplan hatua zake.Kifo Cha Chacha wangwe
Kifo Cha utata Cha Amina chifupa
Kifo Cha utata Cha aliyekuwa waziri wa fedha kabla ya pesa za escrow kuchotwa Stanibic na mkombozi bank!
Kifo Cha Sengondo Mvungi wa bunge la katiba
Ulimboka aling'olewa kucha na kisa kutetea maslahi ya madactari.
Kupigwa Kofi kwa Jaji warioba na kijana wake makonda na hakuchukua hatua zozote?
Mauaji ya waandamanaji Soweto Arusha
Kupigwa risasi kwa Issa Shekh Ponda
Mauaji ya mamia ya watu Mtwara wakidai haki kwenye mradi wa gesi waliyouziwa wachina, huku wakipewa kesi za ugaidi na uchuchezi na Uasi.
NB: Lissu alipigwa risasi mwaka 2017 baada ya kufichua uovu wa JK bungeni kwamba yeye ndiye alisaini Sheria hatari ya madini mwaka 1994 baada ya ile hotuba mchana akafuatwa na wasiojulikana na kushambuliwa na kupewa kilema Cha maisha.
Je na huyu anaondolewaje kwenye list ya Mafia na madicteta waliowai kutawala nchi hii?
Mkuu uchanga wangu haubadilishi ukweli wa uliyo yaorodhesha au niliyo kuorodheshea hapa. Ila uchanga wangu una uwezo wa kuona ukweli na uongo kwenye chombo chenye chuki!Tena nitatumia mtu unayemwamini wewe
Ndiye atafanya tukio ili kuonyesha kukufurahisha wewe kumbe Mimi ndiye nimemtuma
Ndio maana nimekwambia wewe bado mchanga kwenye haya Mambo hakuna unachokijua!!
Rada zilikuwa pesa za kumsaidia kushinda uchaguzi 2005Ndiye mmiliki wa Richmond
Waislamu wamefura☹☹☹☹Kifo Cha Chacha wangwe
Kifo Cha utata Cha Amina chifupa
Kifo Cha utata Cha aliyekuwa waziri wa fedha kabla ya pesa za escrow kuchotwa Stanibic na mkombozi bank!
Kifo Cha Sengondo Mvungi wa bunge la katiba
Ulimboka aling'olewa kucha na kisa kutetea maslahi ya madactari.
Kupigwa Kofi kwa Jaji warioba na kijana wake makonda na hakuchukua hatua zozote?
Mauaji ya waandamanaji Soweto Arusha
Kupigwa risasi kwa Issa Shekh Ponda
Mauaji ya mamia ya watu Mtwara wakidai haki kwenye mradi wa gesi waliyouziwa wachina, huku wakipewa kesi za ugaidi na uchuchezi na Uasi.
NB: Lissu alipigwa risasi mwaka 2017 baada ya kufichua uovu wa JK bungeni kwamba yeye ndiye alisaini Sheria hatari ya madini mwaka 1994 baada ya ile hotuba mchana akafuatwa na wasiojulikana na kushambuliwa na kupewa kilema Cha maisha.
Je na huyu anaondolewaje kwenye list ya Mafia na madicteta waliowai kutawala nchi hii?
Huyu mzee ni janga sanaHata Yale maigizo ya utekwaji wa Mo!nadhani alihusika Ili kumchafua na kumuondolea uhalali chuma kuendelea na upili!!
Chuma alimlalamikia mambosasa inakuaje MTU kama Mo anatekwa hadharani na igp yupo!!?na Mambosasa upo!!?
I believe this perfectly encapsulates the political dilemma currently unfolding in our country.NB: Lissu alipigwa risasi mwaka 2017 baada ya kufichua uovu wa JK bungeni kwamba yeye ndiye alisaini Sheria hatari ya madini mwaka 1994 baada ya ile hotuba mchana akafuatwa na wasiojulikana na kushambuliwa na kupewa kilema Cha maisha.
Wewe hutakufaaa?natamani sana afe na nitashangilia
otea!Wewe hutakufaaa?
Mtoe Amina maana ni natural deaths yeye na mumewe wamekufa na ugonjwa kwa msaada wa watu wa Marekani.Kifo Cha Chacha wangwe