ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,381
- 4,588
Mimi sijui kwa sasa iko vipi !Umesema enzi za Nyerere
Je kwa sasa hali ipo je?
Utaratibu umebadilika?
Wewe kama mimi tuMimi sijui kwa sasa iko vipi !
Wallah sifahamu kitu ndiyo lengo la kuanzisha madaπLakini muanzisha mada atakuwa anajua zaidi na ndio maana ameanzisha uzi huu kwa mtindo wa swali π³π
ngoja waje wenye kujua mambo ikoje ππWewe kama mimi tu
Wallah sifahamu kitu ndio lengo la kuanzisha madaπ
Mbona kama wewe unajua mkuu hadi mambo ya enzi ya Nyerere kabla sijazaliwaπOk
ngoja waje wenye kujua mambo ikoje ππ
Mimi ni wa wakati ule sio wakati wa sasa ! Wanatuita Boomers, wazoefu wa shida na wasiokata tamaa !Mbona kama wewe unajua mkuu hadi mambo ya enzi ya Nyerere kabla sijazaliwaπ
huu ndio ukweli mtupu....imagine mtu anapata taarifa ya mipango ya serikali miaka 10 kablaSasa umeingia kwenye mfumo wangu
Wanasiasa wote wanaofanya biashara wanakwepa kodi ndo Ufisadi wenyewe
Wanapata tenda kwa upendeleo ndo Ufisadi wenyewe
Pia wanapata taarifa mapema za miradi ya kuwa financed na taasis za fedha za serikali ndo Ufisadi wenyewe
1. Mwigulu
2. Rostam Azizi
3. Samia suluhu na familia yake
4. Kikwete na familia
5. Msukuma kasheku
6. Na wengine wengi tuna mafaili yao
Naomba uwe rafiki yangu unipe hadithi za wakati ule kama hutajaliMimi ni wa wakati ule sio wakati wa sasa ! Wanatuita Boomers, wazoefu wa shida na wasiokata tamaa !
Mambo ya sasa mengi hatuyajui π
Ngoja nikapige Ramli kwanza !Naomba uwe rafiki yangu unipe hadithi za wakati ule kama hutajali
Neno fisadi limeonekana kuwa kidogo ni la kistaarabu na lisilomvunjia sana heshima mtu kama vile huyo mtu angeitwa Mwizi π³ !Weka hoja kwanini mwanasiasa akiwa tajiri ni fisadi ila mtu wa kawaida asie mwanasiasa akiwa tajiri sio fisadi
Ndge njaa, utumishi wa Umma ni wito na sio njia ya kujitajirisha.kwenye taifa la wafanyabiashara wenye mabillion wengi zaidi ya maelfu watu wanaumia kuona mawaziri 40 wamiliki na wenyewe hizo billion..kwa sababu kama kuna wafanyabiashara wanafunga million 10 faida hapo kariakoo utashangaaje kuona waziri amiliki nyumba ya million 500 au gari la million 100
Ndiyo, kupepeta tu mdomo unakuwa tajiri?Kuna kitu huwa kinanichanganya na kunifikirisha
Mtu akiamua kugombea udiwani, ubunge au hata urais, je, huwa anatafuta kazi kama zilivyo kazi nyingine ili apate kipato cha kujihudumia yeye na familia yake?
Au huo ni uzalendo usiohusisha maslahi yoyote binafsi?
Nauliza hivi kwa sababu mara nyingi ukimwona mwanasiasa anaendesha gari la kifahari au anaishi maisha mazuri, watu wengi hukimbilia kusema ameiba au ni fisadi
Lakini je, mwanasiasa haruhusiwi kuwa na good life?
Maana yupo kazini, analipwa mshahara na stahiki nyingine kama watumishi wengine
Au sisi kama jamii tunaamini kwamba mwanasiasa akionekana ana maisha mazuri, basi lazima kuna jambo lisilo sawa?
π
NB: Mada hii ni kwa ajili ya mjadala na kubadilishana mawazo, kwa kuzingatia Ibara ya 18 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, inayompa kila mtu haki ya kuwa na maoni na kueleza fikra zake kwa mujibu wa sheria
So ningependa maoni yasiyo na matusi ziwe hoja tu itapendeza
Karibuni kwa hoja
ShesRise_1 βοΈ
Heh mpka Ramli rafiki?Ngoja nikapige Ramli kwanza !
Kumbe fisadi ni neno laini ?Neno fisadi limeonekana kuwa kidogo ni la kistaarabu na lisilomvunjia sana heshima mtu kama vile huyo mtu angeitwa Mwizi π³ !
Wewe kweli ni wa wawakati uleπManeno ya Kiswahili yanachanganya sana Akili π kama kusema fulani amezaa badala ya kusema fulani amejifungua !
Kumbe sawaNdiyo, kupepeta tu mdomo unakuwa tajiri?
Sawa asante kwa maoni mkuu karibu tenaWanaodai wanasaisa wanajitajirisha kwa ufisadi ni kwamba wana mianya mingi ya kujipatia pesa isivyo halali zaidi ya raia wa kawaida.
Fisadi wapo kote uraiani na kwenye siasa maana hao wanasiasa wakifuja hawafuji peke yao.
Tushaona mara kibao serikali zetu tu za vijiji wakijimegea ardhi au kufanya michakato isiyo ya haki kuwapa wenye ukwasi huku wao wakilamba mchuzi mnono.
Hivyo sio kila mwanasiasa anachota pesa hazina au kwenye miradi ya maendeleo ila kuna mianya mbalimbali ambayo sio halali yake wala haki yake yeye kujinufaisha ila hufanya hivyo kwa maslahi yake.
Umeona ?! ππKumbe fisadi ni neno laini ?
Wewe kweli ni wa wawakati uleπ
Ndio nimeona ndugu mhengaUmeona ?! ππ
Sawa