Nadhani hiyo ndio itakuwa ushahidi kuonesha Mungu kaumba kila kitu kilicho chema so unaweza kumuita mjinga?
Na ujinga nao upo kwenye ulimwengu upi?Viwili hivi vimewekwa na Allah muumba wa mbingu na ardhi.
Ilishindikana kuwepo kwa mambo ya hiari ambayo yatakuwa ni mazuri bila ujinga?Ujinga ni jambo la hiari, ni wewe mwenyewe umeamua kuwa mjinga ndio maana ukawa mjinga.
Allah amekupa uhuru wa kuchagua, ungetaka kuwa na maarifa ungekuwa nayo.
Hawezi kuepuka lawama ya uzembe wakati yeye aliumba kiumbe dhaifu kisichokuwa na 100 accuracy ya kuepuka ujinga.Onyesha uzembe hap uko wapi kwa jambo la kujitakia mwenyewe ?
Nikikuuliza maswali uwe una jibu maswali ninayo kuuliza.
Huo udhaifu uliwekwa na nani?Allah ametakasifa na udhaifu. Ujinga ni katika udhaifu.
Na ujinga nao upo kwenye ulimwengu upi?
Ni huo huo ulioumbwa na Allah?
Uhuru wa kuchagua?Hakikisha unachokiandika una uhakika nacho, sio kuandika mambo ya dhana.
Unajua ya kuwa unamjadili usiye mjua ?
Allah ameumba wema na ubaya, kisha akampa mwanadamu uhuru wa kuchagua. Ndio maana hata wewe kwa uhuru alio kupatia unamkana.
Kwahiyo ulichokiandika hakiwezi kuwa ushahidi sababu kinapingana na uhalisia.
Hats wewe unavyo mkana leo hii, yeye alijua hilo.
Kwa hiyo udhaifu ndio source ya ujinga?Haswaa huo huo ulio umbwa na Allah.
Hakuna chochote ambacho kipo nje ya Milki ya Allah.
Ilishindikana kuwepo kwa mambo ya hiari ambayo yatakuwa ni mazuri bila ujinga?
Kwanini Allah aliye mwema aweke mabaya kwenye options ya chaguzi za viumbe wake?
Huo udhaifu uliwekwa na nani?
Uhuru wa kuchagua?
Nikitaka kuchagua kupaa nitaweza?
Nikitaka kuchagua kurudi utotoni nitaweza?
Kama hayo machache tu hayatawezekana utasemaje Nina uhuru wa kuchagua?
Kwa hiyo udhaifu ndio source ya ujinga?
Hapa hoja si wingi, hoja ni kwamba mabaya yapo au hayapo?Mazuri ya hiari yako mengi sana kuliko mabaya.
Wewe unapo weka chakula mdomoni ni jambo zuri na unalifanya kwa hiari, kadhalika wewe unapo msaidia mtu ni jambo la hiari ambalo halihitaji elimu.
Kwahiyo hoja yako haina nguvu sababu ni ya UONGO, yaani umemzulia Mungu uongo. Ndio maana nasisitiza ya kuwa humjui Mungu halafu una mkana, huu ni ujinga ulioje, ambao mko nao wakana Mungu.
Udhaifu ni jambo zuri au baya?Ameuweka Allah mwenyewe.
Katika ulimwengu ulioumbwa na Mungu muweza wa yote aliyewapa uhuru wa kuchagua viumbe wake, basi hakutakiwi kuwe na mambo yasiyowezekana.Kutaka kupaa sio kuchagua kadhalika kutaka kurudi utotoni si kuchagua.
Katika ulimwengu kuna mambo yanawezekana na yasiyo wezekana. Ni sawa wewe utake kumzaa mama yako, hili haliwezekani na kutaka hilo ni ugonjwa wa akili.
Naam, uhuru wa kuchagua upo katika hali wezekano na nguvu lile ambalo liko nje ya uwezo wako likiwekwa kwako ule uhuru unakuwa haupo bali hauna maana.
Ukiwa na udhaifu unaweza kufanya kila kitu Kwa usahihi Kwa asilimia 100?Udhaifu sio chanzo cha ujinga. Sababu unauwezo wa kuondoa ujinga kila kitu umepewa.
Hapa hoja si wingi, hoja ni kwamba mabaya yapo au hayapo?
Hata kama mazuri yapo mengi lakini Haina maana mabaya hayapo.
Kama mabaya yapo ndio ueleze kwanini Mungu hakuweka options yenye kuchagua mambo ya hiari yaliyo mwema pekee?
Udhaifu ni jambo zuri au baya?