Habarini,
Kuna wimbi kubwa la WAAFRIKA wasiojitambua katika kutofautisha imani na ukweli kwenye maswala ya uumbaji hata baada ya kuwa wamesoma na kuelimika pasipo kutambua kuwa athari kubwa kuliko zote za UKOLONI na UTUMWA ni dini za kuja i.e:uislam na ukristo zilizokuja kuharibu mila na desturi za tamaduni zetu ikiwemo kuwakana WAZAZI na WAASISI wetu wa KIAFRIKA kwa majina na ASILI yao.
Kwa hali hiyo je kiuhalisia ni nani zaidi/bora kati ya yesu/muhamad na WAZAZI wako wewe MWAFRIKA unayeabudu dini za kuja??