Je,kimsingi nani bora kati ya Yesu/Mohamad na wazazi wako?

Je,kimsingi nani bora kati ya Yesu/Mohamad na wazazi wako?

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
1,108
Reaction score
1,132
Habarini,

Kuna wimbi kubwa la WAAFRIKA wasiojitambua katika kutofautisha imani na ukweli kwenye maswala ya uumbaji hata baada ya kuwa wamesoma na kuelimika pasipo kutambua kuwa athari kubwa kuliko zote za UKOLONI na UTUMWA ni dini za kuja i.e:uislam na ukristo zilizokuja kuharibu mila na desturi za tamaduni zetu ikiwemo kuwakana WAZAZI na WAASISI wetu wa KIAFRIKA kwa majina na ASILI yao.

Kwa hali hiyo je kiuhalisia ni nani zaidi/bora kati ya yesu/muhamad na WAZAZI wako wewe MWAFRIKA unayeabudu dini za kuja??
 
Mzazi ni mwanadamu na hao ni wajumbe wa Mwenyezi Mungu kukuletea habari njema uache dhambi uishi maisha safi
 
Back
Top Bottom