Je, kinachoendelea sasa katika nchi tajiri ya Marekani ni uthibitisho kwamba pesa sio kila kitu (Money can't buy everything)?

Amani haipatikani kwa kupigana. Miaka 20 ya vita na bado Amani haikupatikana Afghanistan
 
Mimi mwanaume tena? Kwanini?
 
Penzi la dhati unalosema wewe lilikuwepo hapo zamani enzi za bibi zako, siku hizi bila pochi hakuna penzi ni uongo tu!!!
Penzi la dhati bado lipo sana tu. Mimi nilifanya umalaya na wanaume wengi enzi za ujana ila nikaona nitulie na sasa ni mume na familia yangu ya watoto 2.
 
Marekani wanazo nyingi saaaana lakini bado wameshindwa kuwa na amani. Sisemi kwamba sipendi pesa, hapana, mimi pia bado ninatamani sana kuwa nazo nyingi.
Mwenyepesa na Asiye na pesa wote wakawa hawako kwenye AMANI basi mwenye pesa atakuwa hayupo kwenye amani kwa 30% ila asiye na pesa hayupo na amani 70%.
 
Mwenyepesa na Asiye na pesa wote wakawa hawako kwenye AMANI basi mwenye pesa atakuwa hayupo kwenye amani kwa 30% ila asiye na pesa hayupo na amani 70%.
Can money buy everything?
 
Nimekula saaaaana pesa za boyfriends wa mashosti zangu. Nimewachuna haswaaa. Nilifanya sana umalaya enzi nipo chuo IFM na mabosi wa pale town hivyo ninajua ninachokisema.

Sasa nimeolewa, nipo na watoto 2 Iringa. Njoo unywe ulanzi.
Akija na hela atakuswaga na huyu[emoji848][emoji848]
 
Kuhusu pesa kununua kila kitu, HAIWEZEKANI ila inaweza kununua vitu vingi ambavyo ni MATERIAL THINGS.

Pesa hainunui HISIA wala Amani ya nafsi.

Kuhusu kwanini Marekani ina sign peace deal na Taleban ni kwamba,

Marekani siyo mgeni wa vita. Ameshapigana vita nyingi, kuna vita nyingi aneshinda na vita nyingi kapigika.

Sasa hivi kina economic warfare. Huwezi kupigana vita isiyo na maslahi. Na kwanini upigane vita upate hasara wakati unaweza kupata maslahi yako kwa kufanya makubaliano ya amani tu ?

Kwa amani ndani ya nchi kwa maana ya kuepuka mashambulizi kutoka nje wamejitahidi. Mashambulizi ya ndani ni uhalifu tu kama uhalifu mwingine.

Na kuhusu wamarekani kutembea na silaha, ni matokeo ya:
  • Uhuru mkubwa binafsi wa watu
  • Biashara ya silaha zenyewe. Kufanya Gun control US imekuwa ngumu kutokana na watu kuwa na maslahi na biashara ya silaha.

"Wao wanaamini Bunduki haziui watu ila watu ndio wanaua watu"

Sasa unawezaje ku-control hisia za watu ili waache kuua watu, hilo sasa siyo jambo ambalo pesa inaweza kufanya.
 
Money can buy all MATERIAL THINGS like: good clothes food car good house goodweekendoutings good phone & everything good.

Tell me what poverty can buy?
Poverty buy mavi only
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…