Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Moja kwa moja kwenye hoja. Kinywaji hiki cha 'mnazi' ni maarufu sana na kinatumiwa kwa wingi katika ukanda wa pwani wa nchi yetu ambao kwa kiasi kikubwa una idadi kubwa ya waumini wa dini ya kiisilamu.
Kwa kuwa kinywaji hiki kina 'ulevi' ndani yake, yaani kwa kunyoosha maelezo ni pombe, na kwa kuwa pombe ni 'haramu' kwa imani ya kiisilamu, Je, wakazi waisilamu wa maeneo ya Pwani, wanafanikiwaje kujiepusha kutayarisha na kutumia kinywaji hiki?
Au kwa lugha nyepesi, waisilamu wa huko pwani ni kweli hawajihusishi na pombe hiyo?
cc: black sniper, imhotep, nasrimgambo, Kimpyempye, zebri, Mwislam by choice, ummumuhammad, Mesut90, Impimpi, Kikwajuni One, FaizaFoxy