Mkuu labda biashara yako huna mtaji wa kutosha kukutengenezea faida ya kutosha mkuu, njoo hapo uwekeze kwenye viatu vya kichina kutoka China mzigo wa 50m utaingiza sio chini ya 20m kwa wiki mbili hiyo ni pesa ya hand to mouth kweli?Mkuu, hata uiijiajiri nchi hii huna huo Uhuru [emoji817].
Tunaishi nchi hii na tunaijua vizuri na biashara tushafanya sana.
Kwa taarifa yako, Mimi ni mkaguzi kwahiyo hizo biashara kila siku nakagua ndio kazi yangu. Biashara zetu nyingi ni HAND to MOUTH.
Mimi nimefanya kazi ya ulinzi, na nilikuwa nafungia nje mpaka wanaojiita maboss.Level ya kazi unazozungumIa ni level ya juu sana , na sio average ya kazi zinazopatikana.
Nilitamani usikie stori za walimu wanavyonyanyasika na maafisa elimu wa wilaya , utadhani miungu watu
Halafu job description nalo ni neno pana, linaweza kutumika kukubana pia wewe muajiriwa ukqjikuta unaanza kuabudu watu
50M siyo mtaji wa biashara ya kawaida.Mkuu labda biashara yako huna mtaji wa kutosha kukutengenezea faida ya kutosha mkuu, njoo hapo uwekeze kwenye viatu vya kichina kutoka China mzigo wa 50m utaingiza sio chini ya 20m kwa wiki mbili hiyo ni pesa ya hand to mouth kweli?
Mkuu unaweza kumkataa boss? , Sawa kuna mikataba , hakuna siku unaenda tofauti na huo mkataba kwa bahati mbaya ? Halafu unategemea huruma ya mtu?
Kwenye kujiajiri hakuna mambo hayo.
Lindi Kuna shida gani? Singida Kuna fursa gani? Wilaya ipi?Niko Lindi ila natamani kurudi SGD kwetu
Lindi town ufala SGD nimezoea Nina Mali sanaLindi Kuna shida gani? Singida Kuna fursa gani? Wilaya ipi?
Hongera kwa kujiajiri.Mtu akikunyima uhuru wako wa kuishi unako taka freedom of movement ni sawa sawa amekunyima 50%ya opportunity kupata pesa na furaha, napenda sana kujiajiri sio rahisi mtu kunishawishi kuajiliwa na hi mishahara ya 500k to 2m. Siwezi hata unipa bima ya afya mara usafiri nyumba siwezi, my freedom is more precious than money.
Kwa wengine panaweza kua panafaa, Lakini nimesema Bora nihamie vijijini kuliko kukaa manispaa hii...naomba nihamie hata MKURANGA, bagamoyo au PWANI...huku sinunui hata hatua moja ya plotKama Kigoma MC hapafai, vipi huko Wilayani?
Hivi Kati ya Mkuranga, Kisarawe, Bagamoyo na Kibaha ni wapi kunaeleweka kidogo??Kwa wengine panaweza kua panafaa, Lakini nimesema Bora nihamie vijijini kuliko kukaa manispaa hii...naomba nihamie hata MKURANGA, bagamoyo au PWANI...huku sinunui hata hatua moja ya plot
Hahaha biashara ya 200k kwa 1m ni biashara au ujasiriamali wanao jifunza biashara?50M siyo mtaji wa biashara ya kawaida.
Asilimia kubwa ya mitaji ya Watanzania wengi ni Kati ya 200K-20M
Bora kibaha au chalinze..but lengo la kuhamia huko ni kua Karibu na dar, kurahisisha kufanya harakati zako kama ni mtu wa harakati lakiniHivi Kati ya Mkuranga, Kisarawe, Bagamoyo na Kibaha ni wapi kunaeleweka kidogo??
Na hao ndio Watanzania wengi.Hahaha biashara ya 200k kwa 1m ni biashara au ujasiriamali wanao jifunza biashara?
Wana ukabila sana 😅 sisi tunamijengo miwil moshi,ila mie nimejenga dizimu, mdogo wangu mmoja mwanza,mwingine kaweka kambi geita, moshi ni kutembea Kama makazi ya family tuAcha uchagani...hata town hapa washkaji wa kichaga hawaeleweki. Wanapigo zilezile za wazee wao, wanabahat ya kupata kazi kwasababu wengi wamesoma ila hawaelimiki wanaleta maisha ya keshumundu hapa mjini. Mfano kijana kabisa unakuta kakaa kimara analamba mbege....pili, huez kuta mshkaj wa kichaga anaujamaa na mgoni....ni wao kwa wao na wanajazanaga ujinga wa utajiri wa kununua bodaboda na kunuNua viwanja vya mil.2
Singida mjini?Lindi town ufala SGD nimezoea Nina Mali sana