Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
SubhanAllah. Ndiyo maana wanashinda kesi za kupumulia wenzao visogoni kwa mtindo huo.
InategemeaHiyo miradi inayojengwa huko huwa inakufa siku anapotoka madarakani na kuja raisi mpya.
Machawa huamia kwa raisi mpya.
Kuna jamaa anadai "uwanja wa ndege Chato watu wanautumia kuanikia mazao".View attachment 3166852
Kwa wanaokumbuka mwendazake Magu alivyotaka kuigeuza Chato Ulaya, watajikumbusha kinachoendelea kule Kinzinkazi, siyo jina hali. Kabla ya hapo, hatukuwahi kuona kiongozi akipendelea kwao hata kwa kuchota na kutumia vibaya fedha za umma. Kikwete na uhovyo wake, hakufanya hivyo. Mkapa wala asingefanya kama ambavyo Nyerere hakufanya. Kwa mzee ruksa, ni bahati hakufanya hivyo. Juzi nilimsikia Tundu Lissu akisema kuwa huyu mama ni Magu wa kike. Sasa, tararabu, naanza kumuelewa hata kama huwa siungi mkono staili yake ya kufanya siasa kwa ngebe na kelele sana. Je hii ni halali, mtu kupata uongozi na kupendelea kwao hata kama hakuna umuhimu kimkakati kitaifa?
View attachment 3166849
Kuanikia udaga/mihogo inayoandaliwa kusagwa iwe unga wa ugali/uji/gundi/urembo usoni mwa wachawi.Kuna jamaa anadai "uwanja wa ndege Chato watu wanautumia kuanikia mazao".
Nondo amerudi, kapigwa haswa hajitambuiNitatoa maoni yangu endapo Nondo atarudi akiwa hai.
Tena kwa gharama za Watanganyika, siyo halali.Je hii ni halali, mtu kupata uongozi na kupendelea kwao hata kama hakuna umuhimu kimkakati kitaifa?
Duh,Nondo amerudi katupwa Hq ya ACT kapigwa haswa hajitambui