Je Kizimkazi ni Chatolite nyingine inayoanza kuchipua?

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
7,672
Reaction score
9,039
1733083428009.png

Kwa wanaokumbuka mwendazake Magu alivyotaka kuigeuza Chato Ulaya, watajikumbusha kinachoendelea kule Kinzinkazi, siyo jina hali. Kabla ya hapo, hatukuwahi kuona kiongozi akipendelea kwao hata kwa kuchota na kutumia vibaya fedha za umma. Kikwete na uhovyo wake, hakufanya hivyo. Mkapa wala asingefanya kama ambavyo Nyerere hakufanya. Kwa mzee ruksa, ni bahati hakufanya hivyo. Juzi nilimsikia Tundu Lissu akisema kuwa huyu mama ni Magu wa kike. Sasa, tararabu, naanza kumuelewa hata kama huwa siungi mkono staili yake ya kufanya siasa kwa ngebe na kelele sana. Je hii ni halali, mtu kupata uongozi na kupendelea kwao hata kama hakuna umuhimu kimkakati kitaifa?
1733083347029.png
 
View attachment 3166852

View attachment 3166849
Kuna jamaa anadai "uwanja wa ndege Chato watu wanautumia kuanikia mazao".
 
Hahaha mliambiwa msilalamike hii yote ni Tanzania hakuna eneo lisilo stahili maendeleo ndani ya mipaka ya Jamuhuri.

Lakini Zanzibar ni ya Wazanzibari, kwanini isijengwe kwa pesa zao, badala yake wanajenga kwa pesa zetu?

Wangemalizia miradi ya Chato tungewaona wa maana, maaana ilipo lalamikiwa walikuwa wana support, lakini baada ya Magufuli kufariki waliiacha kama ilivyo. huo ni unafiki, na tunawasihi waache.
 
Nondo amerudi katupwa Hq ya ACT kapigwa haswa hajitambui
Duh,
Itakuwa ameponea chupuchupu kutolewa roho kwa sababu ya uvujaji wa taarifa...
 
Back
Top Bottom