LGE2024 Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe kati ya Mbowe, Lissu au Rais Samia?

LGE2024 Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe kati ya Mbowe, Lissu au Rais Samia?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
ni muhimu zaidi walioenguliwa wakajilaumu wenyewe kwa kukosa sifa za uongozi na kukiuka taratibu, kanuni na sheria za uchaguzi wa serikali za mitaa na si vinginevyo šŸ’
Sahihi kabisa
 
Samia na mkwe wake Mchengerwa. Hawa malipo watayapata hapa hapa duniani kama alivyoyapata yule dhalim kwa aliyofanya 2019-2020. Mungu atatoa hukumu very soon kwa wote wawili.
 
Dawa kufanya maandamano ya kudumu kupinga uonevu au kususia uchaguzi kiujumla
 
Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe?

Je, tumlaumu Mbowe kwa maridhiano?

Je, tumlaumu Lissu kwa kupinga Maridhiano?

Je, tumlaumu Rais Samia kwa kutekeleza 4R zake?

Comments ziwe fupi fupi sana.
WA KULAUMIWA NI WADANGANYIKA
 
Nadhani Mbowe apishe damu changa zenye akili na mawazo mapya
 
..kama wako Watanzania wanataka kugombea uongozi, basi mamlaka ziwawezeshe kutimiza nia zao.

..kwanini mamlaka zinataka watu wengi wajiandikishe, na washiriki kupiga kura, lakini zinakuwa kikwazo kwa wananchi kugombea uongozi?

..hii nchi ni yetu sote.
 
Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe?

Je, tumlaumu Mbowe kwa maridhiano?

Je, tumlaumu Lissu kwa kupinga Maridhiano?

Je, tumlaumu Rais Samia kwa kutekeleza 4R zake?

Comments ziwe fupi fupi sana.
Wote hawana tatizo:

Tatizo lipo kwa wananchi ambao wanatakiwakudai katiba mpya
 
Mbowe na lissu wanahusikaje wakati wanaofanya huo ujinga wanajulikana.Ngoja tuone mwisho wao ni upi.
 
wa kulaumiwa ni yule mwenye kuwaengua kwa sababu za kimagumashi kama vile yeye ni malaika mtakatifu asiye fanya makosa. Haya mambo ya kuenguana ni old stone age na wanao ratibu zoezi la kuengua watu ni zinjanthropus wa zama hizi... wajitathmini kwa kweli... huwezi engua mtu ili mwingine apata advantage ya ushindi- ujuha uhuja tu...
Sasa mtu hajajiandikisha lakini anajaza fomu ya kugombea Unyekiti sasa unataka umlaumu DED kweli!!? Labda ukiwa nyumbu!
 
Sasa mtu hajajiandikisha lakini anajaza fomu ya kugombea Unyekiti sasa unataka umlaumu DED kweli!!? Labda ukiwa nyumbu!
Anajiandikisha Mara ngapi? Nida anayo, kitambulisho cha mpiga kura kipo na bado mnataka ajiandikishe?! Huo ndio ujuhuwa wenyewe at its best… au ni vipi Ndugu yangu ?
 
Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe?

Je, tumlaumu Mbowe kwa maridhiano?

Je, tumlaumu Lissu kwa kupinga Maridhiano?

Je, tumlaumu Rais Samia kwa kutekeleza 4R zake?

Comments ziwe fupi fupi sana.

Watanzania kama wewe ambao wanaibiwa haki na kuchekelea
 
Wakulaumiwa ni wagombea na chama chao kwa kutozingatia sheria na kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kanuni zinasema:

1. Umri wa mgombea ni kuanzia miaka miaka 21. Chadema inateua wagombea wa umri wa miaka 18 hadi 20.

2. Mgombea awe anajua kusoma na kuandika kiswahili na kiingereza. Chadema inaweka wagombea ambao hawawezi hata kuandika majina yao.

3.Mgombea hatakiwi kuwa na ugonjwa wa akili. Chadema inaweka wagombea wenye akili zilizoathiriwa na madawa ya kulevya, bangi, viroba, wenye mafaili Mirembe, C1 etc

4. Mgombea lazima awe na kazi rasimu inayomupatia kipato cha uhakika cha kuendeshea maisha yake. Chadema inaweka wagombea ambao ni jobless, wapiga debe, matapeli, panya roads, waganga njaa, wasio na uhakika wa kula kesho, wazururaji, maxhangudoa etx

5. Mgombea lazima awe ni mwanachama hai wa chama chake. Chadema inaweka wagombea ambao hawana hata kadi ya uanachama wa chadema.

6. Mgombea asiwe alishawahi kuhukumiwa na kufungwa jela kwa zaidi ya miezi 6 kwa kosa la jinai. Chadema inaweka wagombea ambao walishawahi kufungwa jela kwa makosa ya ujambazi, wizi, ubakaji, ukabaji, utekaji na kadhalika.

7. Mgombea lazima awe ni raia wa Tanzania. Chadema wanaweka wagombea ambao hawa kadi au namba ya NIDA.

8. Mgombea lazima awe ameshajiandikisha kwenye daftari la uchaguzi wa serikali za mitaa. Chadema inaweka wagombea ambao hawakujiandikisha kwenye daftari hilo.

10. Na kadhalika. Yaana chadema ni kokoro la mtu yo yote kuwa mgombea. Hili haliwezi kukubalika. Lazima waenguliwe.
 
Anajiandikisha Mara ngapi? Nida anayo, kitambulisho cha mpiga kura kipo na bado mnataka ajiandikishe?! Huo ndio ujuhuwa wenyewe at its best… au ni vipi Ndugu yangu ?
Ndio hapo unapoonekana unyumbu wako kwa kutokujua mazingira ya TZ.
 
Ndio hapo unapoonekana wako kwa kutokujua mazingira ya TZ.
Matusi Yana kusaidiwa nini wewe ? Huwezi ku comment bila kutukakana au hapo ndipo kiwango chako cha kufikiri kilipo ishia?
 
Wako
Nchi yetu inaendeshwa kwa taratibu na sheria, acheni kulialia kutafuta huruma, ukikosa sifa lazima uenguliwe.
Wakose sifa chadema 100% yenye wasomi nchi nzima halafu wawe na sifa ccm kwa 100% wenye vilaza nchi nzima nyie fanyeni masihara siku jahazi likizama tunazama wote.
 
Acheni kuengua watu Kwa vijisababu uchwara. Sifa gani hizi za spelling pekee Kama sio ujuha? Jitafakari kabla ya kumwaga upupu wako humu.
Wala sio kweli yani chadema wakosee spellings nchi nzima na ccm wapatie spellings nchi nzima tuwe serious huu mchezo wanaoufanya ccm unaratibiwa na usalama wa taifa.
 
Rais wetu anahusikaje ktk ujinga wa nyumbu. Be serious bwanamdogo

..Tamisemi ni wizara iliyo chini ya Ofisi ya Raisi. Kwa hiyo Kikatiba Raisi ndiye Waziri wa Tamisemi. Sasa kama kuna uhuni unaendelea ktk wizara ya Tamisemi, mtu wa kwanza anayepaswa kulaumiwa ni Waziri wake, ambaye pia ni Raisi.
 
Back
Top Bottom