Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Hata kama watanzania wengi ni wajinga lakini msiwadharau kwa kiwango hicho.
1. CCM inafanya mambo yanayofanya tudharauliwe kimataifa. Huu upuuzi ulianza wakati wa magufuli kwenye uchafuzi wa mwaka 2020 Kimantiki tunajua chadema inakubalika na wasomi na watu wanaojielewa wakati ccm inakumbatia mambumbu kama mtaji wake. Sasa unapowaengua chadema wote mkoa mzima kwa kigezo cha spelkings na kuwaacha ccm wote kwa kigezo cha spellings mtu hata asiye makini atajiuliza hili linawezekanaje?
2. Mnashindwa hata kuonea watu kwa akili wasijue mabaya mnayowafanyia yani 100% wa ccm wawe sahihi na 100% wa chadema wawe wrong hili linawezekanaje? Shimo mnaloichimbia chadema mtaingia wenyewe. Kiufupi kwasasa ccm ndio aibu kuu ya taifa. Msikilizeni Dr kitima vizuri.