Wakulaumiwa ni wagombea na chama chao kwa kutozingatia sheria na kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kanuni zinasema:
1. Umri wa mgombea ni kuanzia miaka miaka 21. Chadema inateua wagombea wa umri wa miaka 18 hadi 20.
2. Mgombea awe anajua kusoma na kuandika kiswahili na kiingereza. Chadema inaweka wagombea ambao hawawezi hata kuandika majina yao.
3.Mgombea hatakiwi kuwa na ugonjwa wa akili. Chadema inaweka wagombea wenye akili zilizoathiriwa na madawa ya kulevya, bangi, viroba, wenye mafaili Mirembe, C1 etc
4. Mgombea lazima awe na kazi rasimu inayomupatia kipato cha uhakika cha kuendeshea maisha yake. Chadema inaweka wagombea ambao ni jobless, wapiga debe, matapeli, panya roads, waganga njaa, wasio na uhakika wa kula kesho, wazururaji, maxhangudoa etx
5. Mgombea lazima awe ni mwanachama hai wa chama chake. Chadema inaweka wagombea ambao hawana hata kadi ya uanachama wa chadema.
6. Mgombea asiwe alishawahi kuhukumiwa na kufungwa jela kwa zaidi ya miezi 6 kwa kosa la jinai. Chadema inaweka wagombea ambao walishawahi kufungwa jela kwa makosa ya ujambazi, wizi, ubakaji, ukabaji, utekaji na kadhalika.
7. Mgombea lazima awe ni raia wa Tanzania. Chadema wanaweka wagombea ambao hawa kadi au namba ya NIDA.
8. Mgombea lazima awe ameshajiandikisha kwenye daftari la uchaguzi wa serikali za mitaa. Chadema inaweka wagombea ambao hawakujiandikisha kwenye daftari hilo.
10. Na kadhalika. Yaana chadema ni kokoro la mtu yo yote kuwa mgombea. Hili haliwezi kukubalika. Lazima waenguliwe.