LGE2024 Je, kuenguliwa wagombea wa CHADEMA nani alaumiwe kati ya Mbowe, Lissu au Rais Samia?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hata kama watanzania wengi ni wajinga lakini msiwadharau kwa kiwango hicho.
1. CCM inafanya mambo yanayofanya tudharauliwe kimataifa. Huu upuuzi ulianza wakati wa magufuli kwenye uchafuzi wa mwaka 2020 Kimantiki tunajua chadema inakubalika na wasomi na watu wanaojielewa wakati ccm inakumbatia mambumbu kama mtaji wake. Sasa unapowaengua chadema wote mkoa mzima kwa kigezo cha spelkings na kuwaacha ccm wote kwa kigezo cha spellings mtu hata asiye makini atajiuliza hili linawezekanaje?
2. Mnashindwa hata kuonea watu kwa akili wasijue mabaya mnayowafanyia yani 100% wa ccm wawe sahihi na 100% wa chadema wawe wrong hili linawezekanaje? Shimo mnaloichimbia chadema mtaingia wenyewe. Kiufupi kwasasa ccm ndio aibu kuu ya taifa. Msikilizeni Dr kitima vizuri.
 
Unamwambia mtu ni jobless ni watanzania wangapi wanaishi bila kazi na wanategemea ajira binafsi na vichwa vyao ili wishing na wanaishi?
Unamwambia mtu ana matatizo ya akili kwa uthibitisho upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…