Je, kuhamishwa hamishwa Wizara kwa Bashungwa ni dalili ya Ufanisi mkubwa au 'Tunabeti' tu Uwezo wake?

Je, kuhamishwa hamishwa Wizara kwa Bashungwa ni dalili ya Ufanisi mkubwa au 'Tunabeti' tu Uwezo wake?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nipo tayari kusubiria Majibu yenu (Mirejesho yenu) ya Kutukuka Great Thinkers wa JamiiForums niyasome na Nielimike zaidi.
 
Mwanzo nilikua simkubali kabisa jamaa, lakini moja ya mawaziri waliotuliza vichwa na hawana mihemko kwenye majukumu yao ni Bashungwa na hua unaambiwa anaushauri mzuri na wenye tija huko barazani
 
Mwanzo nilikua simkubali kabisa jamaa, lakini moja ya mawaziri waliotuliza vichwa na hawana mihemko kwenye majukumu yao ni Bashungwa na hua unaambiwa anaushauri mzuri na wenye tija huko barazani
Hivi nae kumbe ni Mtu wa Mfumo au?
 
Kuchapa kazi kwa nidhamu bila UNAFIKI, UNAFIKI, UNAFIKI kuna kujengea heshima na kuaminika.

UNAFIKI, MAJUNGU, FITINA ambavyo ukichunguza baadhi wamejipamba navyo vitawaharibia sana.
 
Back
Top Bottom