GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nipo tayari kusubiria Majibu yenu (Mirejesho yenu) ya Kutukuka Great Thinkers wa JamiiForums niyasome na Nielimike zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi nae kumbe ni Mtu wa Mfumo au?Mwanzo nilikua simkubali kabisa jamaa, lakini moja ya mawaziri waliotuliza vichwa na hawana mihemko kwenye majukumu yao ni Bashungwa na hua unaambiwa anaushauri mzuri na wenye tija huko barazani
Kumbe ☹? Mi naona hana ufanisiMwanzo nilikua simkubali kabisa jamaa, lakini moja ya mawaziri waliotuliza vichwa na hawana mihemko kwenye majukumu yao ni Bashungwa na hua unaambiwa anaushauri mzuri na wenye tija huko barazani
Kwa hiyo unadhani Mulamula kilichomtoa ni nini?Sidhani kama unaweza kuuona ufanisi wa mtu Kwa vipindi vifupi fupi namna hii........Inamaana Bungeni mle wote Bongo lala hadi aletwe Kairuki? [emoji1787]
So kaona atuamushe?Basi tu Raisi kaona mpo kimya.
Kutenguliwa maana yake umeshindwa kutekeleza job descriptions aliyopewa.Kwa hiyo unadhani Mulamula kilichomtoa ni nini?
Hivi nae kumbe ni Mtu wa Mfumo au?